Pendekezo:waliotoa vibali vya ujenzi wa jengo la TANESCO ubungo wakamatwe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pendekezo:waliotoa vibali vya ujenzi wa jengo la TANESCO ubungo wakamatwe.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by matongo manawa, Jul 6, 2012.

 1. m

  matongo manawa JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Akiongea kwa mbwembwe Leo jioni bungeni Waziri Pombe amesema ofisi za TANESCO Ubunge zimejengwa
  kktk hifadhi ya barabara.Nimejiuliza sana jinsi hawa Magamba wanavyotula akili.Mana kama jengo hilo lilijengwa ktk hifadhi ya barara limejengwa kimakosa na kunawatu waliotoa vibali wapo wanakula nchi na pesa zilizotumika nizawalala hoi.

  Kuvunja jengo hilo ni hasara na nikuzidisha mzigo kwa walala hoi,je?kwanini waliotoa vibali vya ujenzi huo wasikamatwe
  na wachukuliwe hatua za kisheria kwa kuliingizia Taifa hasara?
   
 2. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ipo siku watajenga mpaka baharini au pale magogoni kwa uncle JK
   
Loading...