Ccm fanyeni kazi kwa maslahi ya umma, bongo hakuna upinzani wa dhati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm fanyeni kazi kwa maslahi ya umma, bongo hakuna upinzani wa dhati

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ngomicom, Jul 6, 2012.

 1. n

  ngomicom Senior Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  :A S-baby: NIMEFURAHISHWA saana na Bajeti ya Waziri wa Ujenzi, hakuna mtu aliyepata cha kulaumu. kumbe jamaa hawa na nipasho zao si waperuzi hata bali hutafuta mistari ya nipasho tu. Pigeni kazi majembe ya CCM najua mtafika salama.
   
 2. p

  popobawa2012 Senior Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  acha ugamba ww unaongelea 1 kati ya 200!
   
Loading...