Diwani wa CCM alotishia kuua kada wa CHADEMA- hukumu leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani wa CCM alotishia kuua kada wa CHADEMA- hukumu leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MADORO, Jul 5, 2012.

 1. M

  MADORO Senior Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Diwani wa Kata ya Unyambwa, Shaabani Salumu Satu (CCM) asubuhi hii anapanda kizimbani kusomewa hukumu dhidi ya kesi ya kutishia kumuua Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema Mkoa wa Singida, Bw. Josephat Isango. Tutaendelea kuwajuza yatakayojiri mahakamani, ila mtujulishe maswali ya Papo kwa Papo kwa WAziri MKuu maana tutakuwa mahakamani kuanzia saa tatu.
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Natamani huyo jamaa apelekwe jela miaka ya shetani ili iwe fundisho kwa wengine!
   
 3. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Afungwe tuu huyo muuaji kama ikibainika
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Tunaomba Mahakama itende haki!
   
 5. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  usisahau kutupatia update ya mwisho ya hukumu hiyo
   
 6. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Natamani ningekuwa hakimu wa hiyo kesi ili nitoe adhabu ya funga kazi tena nikifikilia na tukio la Dr Ulimboka.
   
 7. commited

  commited JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  haki itendeke tu... haya ma nyinyiemu yameshaona hii inchi ni ya kikundi chao.... HAKI ITENDEKE TAFADHALI.... ILA KUNA SIKU WATALIPA YOOTE WALIYOTUNDENDEA... CHENYE MWANZO KINA MWISHO.....TU
   
 8. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Wajameni mbona kimyaa!!!!!!!
   
 9. Asa'rile

  Asa'rile JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tatizo ni kwamba, wanaweza kumpeleka Jaji Rwakibarira mwingine!!
  umesahau yaliyomkuta Lema?
   
 10. Amani Nyekele

  Amani Nyekele Senior Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  bw. Madoro nakuomba uwe fair kwa kutujulisha hukumu bila kujali matokeo.!
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa aliyeleta uzi keshaingia mitini
   
 12. k

  kitero JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo wala sijaraji kama kuna jipya yale yale ya siku zote Nyani hawezi kumhukumu ngedere kwa kula mahindi ya mkulima shambani nakati baada ya kesi wote wataenda kupata mlo wa mchana shamba lilelile.
   
 13. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Simu imeishiwa chaji!
   
 14. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  MADORO mpaka saa hizi hukumu bado?
  Ww sema ukweli hao Mahakimu wa Mahakama za mwanzo hawaoni hicho kipengele cha
  Penal code mtu akitishia kwa mdomo tena kusikia bila ushahidi kuwa hakuna KESI ya KUJIBU
   
 15. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  unakaanga mbuyu kisha unawaachia wenye meno wautafune ??
   
 16. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Wazee wa mabwepande wamezoea kutoa roho za watu km ziraili mtoa roho
   
 17. Amani Nyekele

  Amani Nyekele Senior Member

  #17
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Madoro leo umeboa ile mbaya....:
   
 18. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kesi imeishia wapi....au nawe wamekupeleka Mabwepande?
   
 19. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Muanzisha mada hajatutendea haki.
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ukiona hivyo ujue kuwa taarifa ni mbaya.
  Tunachomsihi Bwana Madoro ni kwamba kama hukumu ni mbaya au nzuri tunaomba mlisho-nyuma[feedback] maana kwa vyovyote vile itatusaidia kupanua ufahamu.
   
Loading...