Kwa hili CCM haina uchungu na Watanzania

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,739
4,732
leo katika kipindi cha tuongee hasubuhi cha Star TV Mh. Mwagulu Mchemba amesema katika bajeti mama inayowasilishwa Bungeni katika mabunge yote Duniani ukiwa mbunge wa Chama tawala kinachowasilisha hiyo bajeti hutakiwa kuipinga na utakapoipinga moja kwa moja utakuwa umekiuka taratibu na wakati huo huo utatakiwa kuachia ngazi kwani bunge litavunjwa na uchaguzi kufanyika upya.

Sasa najiuliza ikiwa bajeti ni mbaya kama hii waliyoipitisha kweli hawa wabunge wetu wa CCM wana uchungu kweli na maisha yetu hau wao wanaangalia masilahi yao na ya chama chao tu?
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom