Ni kweli Rais anapotoshwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli Rais anapotoshwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Desteo, Jul 3, 2012.

 1. Desteo

  Desteo JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 448
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tukiangalia mara nyingi yale yanayoendelea hapa nchini na mwishowe kuleta mitafaruku, wanaolalamika wanasema 'Rais alishauriwa vibaya, Rais kada nganywa...' Ni kweli? Hivi suala la hali duni kwenye sekta ya afya mathalani, bado Rais anapotoshwa kwenye hilo? Kwani Rais huwa anasoma nini, anaongea na nani, anatembelea wapi hadi asikutane na uhalisia wa maisha ya mtanzania? Rais akipotoshwa kaamua mwenyewe. Aidha kaamua au hajui uhalisio, huo ni udhaifu.
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Rais anapotoshwa sana,kwa mfano ukiangalia taarifa ya serikali kuhusu mgomo huu na kile rais alichokieleza kwenye hotuba yake ni vitu viwili kabisa visivyoshabiaana .Tatizo lake kubwa ni uvivu wa kutopenda kuhoji na kuchunguza.
   
 3. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Rais anapotoshwa na propaganda za tbc na habari leo, jana na leo wameripoti kuwa huduma Mhimbili zimerudi ktk hali ya kawaida lakin ukweli ni kuwa hata madaktari bingwa wameamua kugoma.
   
 4. H

  Haika JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Nikweli anapotoshwa kwa ajili ya uvivu wake wa kutaka kujua au kupenda kujificha nyuma ya visingizio ni utamaduni inaobidi ufe. Tunataka mtu mwenye uwezo wa kuliangalia tatizo bila kujificha.
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  alishawahi kupotoshwa na akafukuza watu kazi!
   
 6. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Desteo hapana, thread umeianza vizuri ila hapo mbele umeharibu. Raisi ana nia thabiti na ndio maana amesisitiza matumizi ya pesa kuboresha sekta ya Afya. Ila sasa akina mimi nawewe tukipewa hivyo vitengo ndio kazi. Ukweli ni kwamba serikali inajitahidi na ushahidi upo. Tatizo likwapi, upotoshwaji upo pale migogoro inapoanza, nini chanzo na jinsi ya kukishughulikia ndipo anapopotoshwa. We unadhani kuwafukuza madaktari wote wale ni jambo la akili? Na kiujanja amekwepa kutoa amri ya kuwafukuza kaacha mtego ili asilaumiwe, na anaemshauri anamdanganya Raisi ili asiwajibike na yale yanayojiri kwa kutoa suluhisho linalomuacha msafi!! Angetumia tu busara kukutana na hawa wataalamu na kujadili kiuindani tena na tena, ila sas inataka hekima ya hali ya juu na kutokuwepo kwa mazingira ya jazba. Na nidhamu ya watoto wa TISS na wa SM kutokujichukulia mambo mkononi kumpendezesha JK. JK haaminiki atawakaanga sijui kama wanalijua hilo? Maana siku zote angependa abaki msafi. Ushauri ni mbovu sana jinsi anavyopaswa kushughulikia maatatizo,( ila sitaki kusema huwa hasikilizi ushauri anaamua mwenyewe maana nalo hilo linaweza kuwa tatizo).
   
 7. H

  Haika JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hivi kulikuwa na madai mangapi na alijibu mangapi kabla hatujasema kapotoshwa?
   
 8. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mi nafikiri rais hapotoshwi bali ndio upeo wake wa akili umeishia hapo!
   
 9. B

  BMT JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  hapotoshwi ila mimi naona rais wetu hana hulka ya kusoma taarifa wala vitabu,mkapa alikuwa anasoma sana taarifa na alikuwa mfatiliaji,mi naona jk alifikiri urais ni kaz rahsi,kwa mwendo wake huo wa kutosoma taarifa atakuwa anaumia kila kukicha
   
 10. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hili neno anapotoshwa ni sawa na ule msemo mkubwa hajambi. Ukweli ni kuwa kajamba mwenyewe.
   
 11. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  He is total incompetant! Kama amechagua wasaidizi na washauri wanaompotosha huo ni udhaifu. Inamaana bado hajajua kama anapotoshwa. Kama anajua, mbona hawatimui kazi? Kama hajajua na kelele zote hizi kwamba hanapotoshwa basi huo ni udhaifu mkubwa. Anahitaji kupuliziwa vuvuzela ndio asikie?
  Kwangu mimi, hizi ni propaganda zinazofanywa na wapambe wake za kujaribu kumtenganisha na madudu yanayofanywa na serikali yake wakati anaongoza taasisi zote muhimu za serikali kwenye maamuzi! Baraza la mawaziri - mwenyekiti. Tiss, takukuru, utawala bora, zipo chini ya ofisi yake!
   
 12. Desteo

  Desteo JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 448
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nadhani bado tuko sawa kwamba kama anakwepa kutoa maamuzi yeye hata baada ya kugundua kuwa amepotoshwa, huo ndio udhaifu. Serikali imejitahidi kiasi gani hadi nchi nzima inakosa kipimo cha ct scan? Hapo hakuna jitihada mkuu. Wanajaribu tu kufunika tatizo
   
 13. u

  uwemba1 JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 755
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 60
  1. Kasema nchi maskini wakati yeye anajenga pepo Ikulu pale kwake Bagamoyo.
  2. Kasema nchi maskini lakini inawatendaji utitili na wote hao wanahudimiwa kwa mamilioni
  Ya walipakodi maskini.
  3. Nchi maskini yenye kila kitu kizuri for wageni, madini, ardhi,samaki, wanyama wa kupelekwa DBai.
  4. Nchi hii maskini maji ya kutosha kuzalisha umeme, umwagiliaji, uvuvi, lkn umejiingiza na kupenyeza mrija wa kutunyonya via IPTL na rafiki zako RA et al ukawapa Richmond (rejea repoti iliyuchakachuliwa ya Mwakyembe)
  5. Nchi maskini viongozi mnavijisent nje (rejea Jersey Change, na sasa Uswis) Jamaako Shimbo South Africa
  6. Viongozi na watoto, na Jamaa wanapewa na kuishi kama wako peponi mfano mwanao RIdhiwani na rafiki yake Kisena.
  7. Rafiki zako na nyie Viongozi mnaiba billions mnabembelezwa kurudisha na wengine etiquette mnastaafu civilian kaiba kuku miaka jela.
  8. Nchi maskini mnatembelea malaria ya kiafahari hospital zetu hazina dawa, vipimo, ajabu nchi nzima no CT scan yenye bei, Sawa na shangingi moja kati ya mashangingi yote mliyonayo.

  Nyerere alisema Kwa vitendo na tuliona Kweli aliishi kama sisi leo unamwambia nchi maskini unamlipa graduate wa uhasibu laki 4 anafanya kazi za mabililioni
  Na anaona mnavyoiba mabilioni Kwa nini asiibe ?
   
 14. m

  mamajack JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kweli yote!!!!!!!
   
 15. m

  majebere JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Na wewe huna point, umekoroga maneno tu. Kajipange upya. Hii ni rubbish.
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kuanzia wiki iliyopita nimeamini rasmi kwamba Jakaya Mrisho Kikwete anasema uongo... sasa sijui ni kwa faida ya nani maana kuna mengine siamini kama kila kitu anachosema anakua amedanganywa na washauri wake....

  UONGO NI UGONJWA
   
 17. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Wenye akili walishajua tangu 2005 kuwa kikwete ni -at best- ni mswahili.

  "They knew they were lying, and we knew they were lying"
  Tundu Lissu (2012).
   
 18. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,180
  Likes Received: 3,392
  Trophy Points: 280
  Nchi ni masikini kweli, mnataka mdanganywe mmfurahishwe kwa kuambiwa nyie ni matajiri huku ni masikini wa mwisho. Kuwa na mbuga, mafuta, maji, gas na uchafu mwingine wote bila elimu ni kazi bure kama kumuamini Mungu huku huna upendo,

  Kiwango cha elimu bongo kiko chini sana ndio maana nchi ni masikini na nchi itaendelea kuwa masikini kama serikali haitawekeza kwenye elimu kwanza na wenye elimu wataendelea kuchukua pesa watakazo kwa hiyo nchi hadi watu watembelee vichwa.

  Nchi kama Swiss haina uchafu wa gas wala mafuta ila inapesa balaa kwa kuwekeza kwa elimu tu. TZ ni nchi masikini sana
   
 19. m

  masaiti Senior Member

  #19
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 197
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mwaka huu mmeshikwa pabaya, na badoooo mpaka mapovu yawatoke midomoni mwenu. Akajipange upya kwa lipi? Kama hana point wewe toa zako.

  Nepi @ work
   
 20. m

  masaiti Senior Member

  #20
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 197
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tatizo ni 'Udhaifu'
   
Loading...