Baadhi ya viongozi wa bunge "DHAIFU" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baadhi ya viongozi wa bunge "DHAIFU"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by M'Jr, Jul 4, 2012.

 1. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Kumekuwa na dhana ya bunge kupoteza mwelekeo katika siku za hivi karibuni kiasi cha kupigiwa kelele na watu wengi utafiti wangu unaonyesha kwamba uongozi wa bunge (spika, naibu spika, wenyeviti) wamekuwa dhaifu kiasi cha kupelekea bunge kufikia hapo lilipo.

  Kwa mtazamo wangu, mgawanyiko wa vyama umekuwa wa dhahiri kiasi cha kupelekea hata viongozi hao nao kuburuzwa kwenye mkumbo wa vyama hivyo baadhi ya wabunge kuona wanaonewa na hivyo kuamua kurespond. Siku hizi ni jambo la kawaida mtu kuongea na mbunge kuwasha mic na kupiga vigelegele au kusema "waambie hao" licha ya kwamba kikanuni haliruhusiwi. Viongozi hawa wamekuwa dhaifu sana kwa hili licha ya kuwajua wote wanaofanya hivyo lakini wanashindwa kuwachukulia hatua kwasababu ya ushabiki wa vyama.

  Kuna mambo mengi yanayoonyesha udhaifu wa viongozi hao lakini simply they are weak
   
 2. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Nipige Nisipigeee?.........Pigaaaaaaa aaaaa
  Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii?............ .......Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mahindi yanaota na rangi ganiiiiiiiiiiiii?............K ijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mpunga unaota na rangi ganiiiiiiiiiiiiii?............ .Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
  Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?............... ............Kijaniiiiiiiii.
  Piga makofi na vigelegele kwa chama cha mapinduzi.


  [/FONT]
   
Loading...