"nani yuko nyuma ya mgomo huu? A BIG QUESTION

busar

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
1,068
1,061
Nimefuatilia majadiliano kadhaa juu ya kichapo cha Dr. Ulimboka. Watesi wake inasemekana walimuuliza Swali muhimu sana " NANI YUKO NYUMA YA MGOMO HUU WA MADAKTARI?" ni Swali muhimu sana kwa mtekwaji, ndo msingi wa mateso, na huenda ndo dhahabu waloitaka, imekuwa Njema amanusurika kutuletea Swali hili muhimu,
Na je yalikuwapo mengine? Ya ukubwa gani? Naamini intelligence zetu zina wajuzi wa kutoa jibu la hoja za aina hii? Au namna nyepesi ni kulikanusha kutokuwapo kwake, nje ya Hapo M15 yetu itakuwa na walakini?
Kama ndivyo; nani anahusuka na Tutamkaji wa Swali hili? Je ni WAHUNI
 
Back
Top Bottom