Nini mahusiano kati ya watu/makundi haya hasa katika sakata la mgomo wa madaktari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini mahusiano kati ya watu/makundi haya hasa katika sakata la mgomo wa madaktari?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Jul 4, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Sakata la mgomo wa Madaktari ambalo linaibuka na kutoweka kama samaki baaharini, linapelekea watu kujiuliza maswali mengi hususani juu ya nini uhusiano uliopo na mgomo huu na watu ama Makundi haya?

  John Mnyika: tangu mgomo wa kwanza na huu wa sasa amekuwa akiwa wa kwanza kutoa tamko la kuunga mkono mgomo huo. Pamoja na kuwa msemaji wa CDM lakini ingependeka kama watanzania watajua kwa nini yeye wa kwanza, ana maslahi gani

  HELLEN KIJO BISIMBA: Katika mfululizo wa migomo yote amekuwa wa kwanza tena kwa karibu sana. Kila mtu anajua kuwa ni Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu, lakini swali hapa ni je haki hii ni kwa mwajiriwa tu na siyo mgonjwa? haki inatafutwa kwa madaktari tu, mbona hatusikii walimu wakipigiwa debe na kituo hiki. Jambo la ajabu kabisa tukio la kupigwa Ulimboka, akasikika akisema walimtafuta vituo vyote vya polisi bila mafanikio, walijiandaa kumtafuta? nini walichokuwa wanajua hadi kwenda vituo vyote vya polisi?


  ANANILEA NKYA: Mambo yake kama ya HELELN BISIMBA.

  Aidha katika sakata zima la mgomo huu, haijasikika hata siku moja daktari, Mwanaharakati au mshika dau yoyote katika sakata hili kutoka imani ya kiislamu?
   
 2. m

  majebere JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Wewe umesahau kuwa walisema hii nchi hatatawalika.
   
Loading...