Mh. Mbowe muulize mhe. Pinda maswali yafuatayo hapo kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Mbowe muulize mhe. Pinda maswali yafuatayo hapo kesho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHEMPO, Jul 4, 2012.

 1. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Maswali;
  1.kwa nini kiti kinashiriki kutoa maneno ya kuudhi na matusi ,kebehi,mizaha..mpe mfano wa kumwambia mnyika anawashwawashwa.
  2.kwa nini raisi jk alizungumzia swala lililopo mahakamani,maana inawezekana taratibu zimebadilika
   
 2. Alwayz on top

  Alwayz on top JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 558
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  1-kwanin akibanwa na maswal magumu analia?..2-kauli ya liwalo na liwe alimaanisha nn?..
   
 3. D

  Determine JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  muulize tofauti kati ya CO,AMO na MD,make wamejaza CO na AMO... Temeke.mwananyamala na Amana hlf Eli sadiki kila cku anasema madaktari(MD) hawajagoma,sasa watagomaje wakati hawapo??
   
 4. GP

  GP JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hata mimi nilidhani AMEVUNJA SHERIA kwa kuongelea ishu ya madokta wakati ipo mahakamani, na kwa kusema serikali haiwezi kamwe kulipa mshahara wa 3.5M ni kama vile tayari ameishaingilia mchakato ambao uko mahakamani, je unadhani mahakama itatoa uamuzi tofauti na kauli ya JK?, kashavunja sheria hapo kikatiba.
   
 5. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  pia amuulize je usoni huwa anapaka lotion gani?
  Coz uso wake uko muruaaaaaa
   
 6. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Wakati akimuuliza hayo aweke na
  Cv yake hadharani ili kuwaabisha wale wanaosema kasomea Udj
   
Loading...