Personal attacks kwa Dr. Ulimboka zimeanza! Waziri mkuu kadhihirisha utendaji duni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Personal attacks kwa Dr. Ulimboka zimeanza! Waziri mkuu kadhihirisha utendaji duni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rich Dad, Jan 29, 2012.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  nimeshangazwa sana na kauli wa waiziri mkuu kufuatilia personal profile ya dr. ulimboka.

  updates
  - alichokisema waziri mkuu:

  kaeleza jinsi Dr. Ulimboka alivyowahi kuongoza mgomo wa madaktari nchi nzima mwaka 2005. Aeleza pia kwamba kumbukumbu hazioneshi kwamba Dr Ulimboka alimaliza internship hospitali ya muhimbili. Kaenda mbali pia kusema amepewa barua ya Dr Ulimboka kwenda chama cha madaktari kukiri kutojihusisha na ushawishi wowote kwenye masuala ya migomo mwaka 2005 baada ya kusamehewa na Rais asifutiwe uanachama wake.


  MAFILILI
  Today 22:22
  #9 [​IMG] [​IMG] JF Senior Expert Member Array


  Join Date : 28th April 2011
  Posts : 489
  Rep Power : 341


  [h=2][​IMG] Re: ni sahii waziri mkuu kusoma profile ya mtumishi hadharani[/h] Msingi wa yote ni kiburi cha madaktari kukataa wito wa mkubwa. Ndipo watanzania tumejulishwa Dr. Ulimboka mtu gani:
  1. 2005 aliongoza mgomo Muhimbili
  2.. Akasimamishwa na kupewa onyon kali na MAT
  3. 2006 Rais akampa msamaha
  4. Aliandika barua kwa MAT kuomba msamaha na kuahidi atajihusisha tena na migomo
  5. Rekodi zinaonyesha mafunzo ya intern hajamaliza
  6. Hana cheti cha udaktari
  7. Ni mfanyakazi wa NGO ya UKIMWI

  Hapo Pinda asilaumiwe bali Ulimboka ahukumiwe kwa kuwaburuza madaktari
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,754
  Likes Received: 82,732
  Trophy Points: 280
  ....Ndiyo zao hizo lazima waweke mkwara mzito sana dhidi ya Ulimboka mpaka aogope kuongoza jahazi....inasikitisha sana kusema kweli.
   
 3. S

  SWEET GIRL JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 60
  hata me nimeisikia ngoja tuwasubiri wenyewe waje waelezee ukweli hapa.
   
 4. only83

  only83 JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Yani mkuu mimi ndio nimeshindwa kumuelewa kabisaa...na hili ndilo tatizo la viongozi wengi wa afrika and Tanzania in particular.Yani anaongea kwa dharau hati,huyu Bwana Ulimboka sijui katoka wapi,sijui kapewa onyo shit!! Yaani kama ningekuwa na uwezo na ujasiri ningejiunga Boko Haram ili nimlipue huyu mtoto wa mkulima...Yani kaongea hoja ambazo ni nyepesi,hati serikali haina uwezo,hivi posho za wabunge na wao huko juu wana uwezo ila kwa waganga no!! Jamani nawaambia madaktari mkikubali kutepeta kesho hata Mungu atawalaani lol!
   
 5. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,928
  Likes Received: 1,032
  Trophy Points: 280

  Aaangalie...... wasije wakamfanya kama mwanafyale mwenzake Mwakyembe..........
   
 6. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  wekeni kilichosemwa basi ili sote tuelewe..binafsi sielewi mnajadili nini hapa?
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Sasa inakuwaje he gets personal na ulimboka?
  Mbona posho za wabunge hakutufanyia analysis tra watahitaji kuongeza ngapi?
   
 8. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  movie imefika patamu
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wanasheria mnasemaje?
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Madaktari sio waliomdhuru mwakyembe! Pinda anagombana na madaktari, na sio wahasimu wa mafyale
   
 11. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  personal attack ziko wapi hapa Jf mpaka unataka tujadili issue isiyo kamili tupe mkanda wote tujue kama kweli lilikuwa shambulio binafsi au la
   
 12. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kimsingi alikuwa anataka ku justify kauli yake kwamba Kiongozi wa madaktari ni mkorofi na anapenda migomo badala ya suluhu, kwani aliwahi kuongoza mgomo wa madaktari nchi nzima mwaka 2005.
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  eti......huyu ulimboka ni nani huyu, katokea wapi......

  Badala ya kutoa majibu yeye anatafuta profile ya mtu.....yale yale ya manufacturing of teachers...
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,754
  Likes Received: 82,732
  Trophy Points: 280
  Best anamaanisha Ulimboka awe muangalifu asije naye wakamlambisha sumu kama Mwakyembe.
   
 15. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unafikiri kweli kama mwakyembe angakuwa kapewa sumu angekaa kimya basi atakuwa si mwakyembe ninayemfahamu mimi hajui kumung'unya maneno angesema tu. kukaa kwake kimya maanake ni ugonjwa wa Mungu.
   
 16. T

  The Priest JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  kwani kasemaje,hizi mada zisizoeleweka tupa kuleeeeeee,aaagh
   
 17. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pinda Komaa baba wanasema serikali yako na hasa wewe huwezi kuchukua maamuzi magumu.
   
 18. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #18
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aliyeanzisha thread utafikiri naye yuko kwenye mgomo wa kutupa habari kamili. Rich Dad ni nani? katokea wapi?
   
 19. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mtu mwenye tamaa tamaa ya posho za laki mbili kama Pinda lazima aweke pamba masikioni kutoangalia maslahi ya wengine wenye mahitaji kama yake
   
 20. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulimboka maana yake nini?
   
Loading...