Kamati ya jumuiya ya madaktari Tanzania iko makini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati ya jumuiya ya madaktari Tanzania iko makini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mayoscissors, Jul 4, 2012.

 1. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Maazimio ya kamati
  1. Tuling'amua kuna upotoshaji wa habari unaoendelea hivyo kamati ilipanga mkakati wa kulikabili hilo, mfano ni kuhusu specialists wa mnh ambao wamesemwa kuendelea na kazi na wao wakiwa wamesitisha (suala la ku-sign na kuondoka ni la kimkakati zaidi), ikumbukwe specialists ndo wanaowalinda intern zaidi ya 350 waliofukuzwa mpaka sasa
  2. Madaktari tuendelee kushikamana kupigania h...aki na tusirudi nyuma, tuliyopoteza ni mengi na ushindi tumeukaribia
  3. Intern wote walio dar es salaam tukutane muhimbili saa mbili asubuhi kwa ajili ya taarifa na kujipanga. Wale wa mikoani waanze safari ya kuja dar. Kutakuwa na mkutano wa viongozi wote wa intern.
  4. Madaktari kualikwa kwenye mdahalo (jukwaa la hadhara) leo julai nne,2012 saa tisa alasiri-11jioni.
  Mada: Mgomo wa madaktari; kiini chake nini?
  Watoa mada: Madaktari, tgnp, tamwa, lhrc, thrd, sikika. Hii itafanyikia tgnp mabibo. Tumeshateua wasemaji wakuu miongoni mwetu ila madaktari wengine pia mnakaribishwa kushiriki (ijulikane pia wanaharakati wako mstari wa mbele kutupigania na wao ndio wananchi)
  5. Wakati bunge wakiendelea kukataa mjadala wa madaktari bungeni, baadhi ya wanasheria wameona huo ni upotoshaji na wanafuatilia jinsi ya kuruhusu mjadala wa madaktari kuruhusiwa kujadiliwa bungeni
  6. Tuendelee kushikamana tukisubiri ofa ya serikali, sisi tuko tayari kuzungumza watakapokuwa tayari.
  7. Afya ya dr. Ulimboka inaendelea vizuri tuendelee kumchangia na kumwombea ila anahitaji usalama wa hali ya juu.
   
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  tumekusikia, tumekufikia! tupo pamoja! hii yote kiini chake ni vasco the explorer, ni disgrace to human beings yule baba kha! poleni madr, we are suporting u!
   
 3. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Safi kazeni buti walifikiri ni walimu
   
 4. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Are we just sleeping or dead already?
   
 5. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Heka heka za nini au hamjiamini? Mmeambiwa ruksa kwenda huko Botswana sasa mbona mnalazimisha maongezi,Nenden kwa waajiri wataowapen hizo 7.7 million.Mwajiri mkuu keshasema hatawapa mnachokitaka sasa fanyeni maamuzi!
   
 6. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  thanks for support and u are doing the same to your self kwani hatugomi kwa maslahi wengine tunatibu na umachinga tunafanya so njaa njaa hatuna
   
 7. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ptuuu, tatizo lenu mnadai haki kwa kubadua kada nyingine kama vile mko peke yenu kwenye kazi. Amini, mwisho wa yote ni kusumbuka tu. Na dhambi ya ubaguzi huendelea. Subirini mtaanza kubaguana wenyewe
   
 8. maege

  maege JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 308
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  source plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
   
 9. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mlevi utamjua tu kwa maneno na mwenendo wake. Huna haja ya kumuuliza, kwa sababu utawezaje kumuuliza Osama "Osama, umefuga ndevu?"
   
 10. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni nini kimewafanya mkasaini na kutofanya kazi? Eti kimkakati zaidi, mkakati gani! You are just cheating yourselves! Na hamstahili hata kulipwa mshahara kwa kipindi mlichogoma. Rudini kazini mjipange upya kwa hoja, siyo kugoma!

  Na kwa nini mnan'gang'ania kufanya kazi serikalini kusiko na mshahara mkubwa? Mwajiri keshawaambia mwende huko Botswana kwenye mapene. Mnasumbuka tu!
   
 11. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,297
  Likes Received: 1,216
  Trophy Points: 280
  sielewi hatma ya hii mambo!
   
 12. c

  chirare Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwezi july mishahara ya waliogoma haikuandaliwa,pension yao inafanyiwa kazi wizarani.
   
 13. Dr Klinton

  Dr Klinton Senior Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe wa ajabu sana eti mnabagua kada zingine hizo kada zingine

  kwanza ishu si madai ya madr tu kama ambavyo wengine mnapostosha kwa makusudi madokta wamechoka kubong'oa wakimwangalia mgonjwa aliyelala chini, ukosefu wa vifaa tiba muhimu, madawa,UCHAFU mahospitalini nk
  kwani hiii inashusha hadhi ya kazi ya udaktari na pia inazorotesha utoaji huduma
  madr wanakuwa hawana tofauti na akina maji marefu sasa

  ila propaganda zinawapeleka wachache wenye uelewa mdogo na wengine wanazifanya makusudi kupotosha

  Kuhusu kudai haki kada zote zinakaribishwa sana sana wala hadi walinzi

  ila hawa kada zingine mpaka sasa wamefyata mkia kwani hiii si kazi ndogo ndugu
  hata ww hapo unaogopa kazeni moyo konde uhuru hautakuja kama miujiza
   
 14. Gerald

  Gerald JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 290
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  madoctor umoja wenu ndio ushindi wenu msidhoofishwe na propaganda za uwt embu pateni hasira iweje lusinde std7 take home 10m na wewe 6-8years unasugua bench still unaambulia 900k ? Incredible.
   
Loading...