Mhadhiri maarufu Selemani Kishki ahojiwa na polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhadhiri maarufu Selemani Kishki ahojiwa na polisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Myelife, Jul 4, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Myelife

  Myelife Senior Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  jamani kuna habari ktk mitaa yangu, zinanipa haiba ya kujua ukweli, naomba mwenye habari kamili aweke hapa, eti mhadhiri wa kiislam sheikh Nurdini Kishki katekwa nyara na watu wasiojulikana, mwisho naomba kuwasilisha.
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  we ulizia vuzri tu hapo mtaani kwako utaujua ukweli.....huenda yuko msikitini
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kama afghanistani
   
 4. m

  mtendaji wa kijiji JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hili swala c la kupuuza
   
 5. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Yawezakuwa ametulia mahali aache huu upepo mbaya upite. Sidhani kama serikali inaweza fanya matukio kwamfululizo hivi na kwa style moja. Labda ni jambo lingine tu na halihusiani na utekwaji.
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ujiiiiinga mtupu huo!!!

  Akili za kijinga kweli kweli eti ili ije ionekane kana kwamba hata UTEKAJI wa Dr Ulimboka nao ulikua ni tukio la kawaida tu. Ujinga kweli kweli yani!!!

  Mwisho wa siku utasikia kwamba 'wamemteka' Stella Manyanya kabla ya kumfikia mlengwa halisi.

  Bure kabisa wala haamna kitu pale!!!
   
 7. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,285
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  ni Selemani Kishki au Nurdin Kishki?
   
 8. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Muulizeni Fundi Mchundo Stella Manyanya atakwambia kwamba ametekwa na CDM na ni heri ametekwa maana huyo Sheikh ni sawa na Osama Bin Laiden, hivyo Mungu ametuepusha mengi!
   
 9. m

  mwl JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 180
  Kama ni Nurdin Kishk jana usiku alikuwa Tanga na ameondoka leo kuja Dar.
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kengemumaji, wewe ni mmoja kati ya watu ninaowaheshimu sana hapa JF! Nashangaa ni kwa vipi unatoa majibu ya namna hii! Nataka kujua huyo aliyetekwa ana influence gani kwa taifa au kwa watanzania hata wawe na interest ya kumteka? Ni tajiri sana, na hivyo wanataka awape hela? Ni mgomvi au ni mtu wa namna gani? Si kila mnayemfahamu ninyi, sisi wote tunamfahamu kwa hiyo tunatakiwa kupewa taarifa inayojitosheleza ili tujue cha kuchangia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kuwa amekamatwa bagamoyo na polisi,,,,hakua peke yake alikua na wenzie,na polisi hao mmoja alivaa nguo za kipolisi mwengine za kiraia,na POLISI walisema kuwa waliwashuku huenda ni majambaz,sosi,redio Imaan,,,,,,,,sina taarifa zaidi ya hizo
   
 12. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Dah! yamekuwa hayo tena???
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kishki ni mhadhir wa kiislam ambae hutoa mawaidha ya kiislam kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini,na pia hutoa mawaidha yake kupitia kituo cha redio cha redio imaan,even leo alfajiri nilimsikia(ila huwa rekodedi),sasa waliotoa taarifa hiyo ni hao redio iman,na in fact hajatekwa ila polisi walimshuku yeye na watu aliokuwa nao kuwa ni majambaz,tukio limetokea bagamoyo,,,,,,walilazimishwa kuvua kanzu zao,ila taarifa zaidi tutazipata,,,,,,
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  si utekaji kwakweli,,,ufafanuz huo hapo juu
   
 15. piper

  piper JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jamani huu utekaje unakuwaje? jitahidini muwahi misitu ya pande huenda mkamkuta
   
 16. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Nakushukuru sana kwa kuclarify hili. Sikuwa namfahamu huyu bwana.
   
 17. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Nurdin kishki ni msudan jamaa labda janjaweed wamekuja chukua ndugu yao
   
 18. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  mwenye namba ya Juma Mgaza tafadhali!! nendeni msitu wa pande haraka
   
 19. G

  George farahani Member

  #19
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli,mi nimeckia redio imani wakitangaza,wametekwa na watu wenye bunduki mmoja wao akivalia jezi ya police,thz is bad
   
 20. commited

  commited JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Daaah haya bana ... Ni upepo tu utapita
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...