CHADEMA Shadow Cabinet: Jokers & Comedians!

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Click the link below:

Waheshimiwa Wabunge wa CHADEMA

Thats the link with list of Shadow Cabinet ministers ambao so far naona anayesikika kiasi ni huyo one and only Zitto. Lakini wengine wote ni kama vile hawapo na its fair to say kuwa washakuwa irrelevant by default.

Ukweli usiopingika kuwa in opposition, picking the wrong person means you will stay in opposition for longer kwa sababu wananchi as much as washachoka na ( status quo) lakini kila wakiangalia the alternative naona wanaona comedians and jokers.

It is difficult to imagine what the leader of opposition bwana Freeman Aikaeli Mbowe must be thinking. Being made leader under these circumstances is a bit like being given a new toy (and I'm not talking about lile Vogue lake), but a toy kwa maana kama toy ambayo zinauzwa pale toto junction but told that you can only play with it in the way that the giver wants. Oh, and they not only want you to play nicely with it, but you have to share it with the rest of your new class (Zitto et al) some of whom are girls (Halima Mdee and the likes).

The really important thing here, is that whatever Bwana Mbowe and his entourage huko Chadema decides to do, he needs to decide to do it quickly. As much as kila mtu anasema ni cosmetic changes lakini CCM washaanza walau kuonyesha kuwa they are doing soul searching na "kujivua gamba " as well as hiyo ripoti ya Consultant (regardless kama unakubaliana nayo au la).

After events in Dom, kuna watu wakaaanza kusema it is high time that Chadema started presenting some credible opposition to a government that, frankly, has been taking advantage of the lack of one. The CCM Government has been able to do what they like because there's no-one to try and stop or even question them. Lakini after going through Chadema's website nikaona hiyo list ya the so called Shadow Cabinet, then I guess hakuna haja ya kutafuta Consultant kuwaambia whats wrong with Chadema as a party na Freeman Mbowe as their leader.

One might say kuwa ohhh Freeman didn't have enough time time to vet his the RIGHT cabinet, well, It`s an oxymoron. Or in Chadema's case, just a bunch of morons wamejazwa mle na hawana lolote (Kielimu na kimawazo) mfano mzuri ni this dude under the name of Ezekia D. Wenje ambaye ni Shadow Foreign Minister, alikuwa kajificha kwenye Facebook ana update status zake kila dakika na kuwa poke wenzie wakati waTanzania wamekwama Libya na Japan. Baada ya kujua what he has been up nikasema its not his fault kwani kutegemea statement from him is like asking a plumber to do a heart bypass operation!

Then kuna Wizara ambazo Freeman alimua kujaza bila kuzingatia uwezo wao kama akina Regia Mtema (Kazi na ajira), Lucy Owenya (Wizara ya Viwanda na Biashara)

Naomi A. Kaihula (Jamii jinsia na watoto) Highness Kiwia (Maji)...hizi wizara zote zimekuwa kwenye misuko sukomingi tangu Cabinet mpya ichaguliwe lakini hawa wa Chadema wamekuwa kimya hakuna aliyekuja na alternative policy paper yoyote kutuambia what's wrong with policies za CCM. It can be argued kuwa Freeman kujaza wanawake wasio na uwezo ni sawa na feminisation of Chadema, which to my mind is a good thing because it is going to get screwed from now on mpaka watakapo amka na kuja with proper lineup.

Perhaps Freeman's political adviser will be Halima Mdee? It has become a parody for shadow male Politicians. The only things we can expect from Freeman are parrot phases, from someone pulling his strings. The question who exactly is this unknown person?

Kama mnabisha waambieni walete C,V za hiyo Shadow Cabinet ndio mtaelewa kuwa these jokers. For this, its fair to say kuwa never in the field of human conflict in the land of Kilimanjaro...has so much damage, been inflicted on so many people, by so few...muppets!
 
Wewe ndiyo kati ya wale mlioajiriwa kuinua image ya CCM iliyodorora -- na mnafikiri mtafanikiwa kwa kuiponda CDM. La hasha! CCM itaokolewa kwa kuwatimua mafisadi waliojazana ngazi zote ikianzia baraza lake la mawaziri.

Mfano, huyo head wenu Pinda hajiu hata kama kuna ubadhirifu katika serikali yake na wala hajui ripoti ya CAG imesema nini.
 
Kweli Kabisa! Kesho - Jumamosi, Kamanda wetu Dr wa ukweli atamsaidia JK wenu kazi ambayo anatetemeka miguu kuifanya -- kutaja majina ya mafisadi waliomo serikalini na ktk CCM. Ajabu yenu CCM ni kwamba mnapoteza muda mwingi katika vikao vyenu vya juu kujadili mambo mnayojua ni nyeti lakini mnazunguka zunguka tu, hamtaji majina ya mafisadi -- ingawa mnakubali wapo kibao!

Dr Slaa atataja majina hayo katika mkutano wa hadhara huko Tabora na bila shaka ataiendeleza ile orodha ya Mwembe Yanga. Dr wetu ni jasiri kweli kweli kuliko Dr wenu wa kuchakachua!
 
Jokers! YOU ARE THE JOKER! Hawa unaowaita jokers wanaifanya serikali yenu kuchanganyikiwa sijui ifanye nini sasa hivi. Kwa juhudi zao na CDM kwa ujumla wameufanya uongozi wa juu mzima wa CCM kuonekana ni wa ajabu kabisa usiyojua kipi sasa cha kufanya.
 
....Mawazo mazuri lakini yasiyo na upembuzi yakinifu....nilitegemea utupe yafuatayo..

  1. Data za elimu za hao shadow ministers
  2. Nilitegemea uongee kwa utafiti na sio maono yako na uje na comments za kipuuzi..
 
Naona utekelezaji wa hofu ya Msekwa umeanza. Mmepotea njia. Tumeni makala zenu kwenye gazeti la Mtanzania na Rai zisomwe na Makatibu wa Wilaya wa chama chenu.
 
Wewe unaropoka tu wala sidhani kama huwa unafuatilia mambo. Leo nimebahatuika kuangalia bunge na sikuamini jinsi ambavyo wabunge wako wa ccm wanavyo kunja uso mbunge wa CDM anapokuwa anaongea. Nikajiuliza kwa nini inakuwa hivyo?

Kumbe kwa sababu wabunge wako wa CCM huwa hawana muda wa kujiandaa kufuatilia mijadara ya bunge hivyo roho zinakuwa zinawauma pale wanapoona wenzao wanapokuwa wako on top of isues. Then wewe looser unapokuja na hizi topic naishia tu kukuonea huruma sana.
 
Then kuna Wizara ambazo Freeman alimua kujaza bila kuzingatia uwezo wao kama akina Regia Mtema (Kazi na ajira), Lucy Owenya (Wizara ya Viwanda na Biashara)

Ukweli autakiwi kupuuzwa kama hupo kwenye hii thread maana hapo ndipo CCM itapokwenda chali.

Regardless first things first maana wengine atujui huwezo wa hao mawaziri kivuri, hila hapo kwenye hao wawili nilio quote watu wanaotakiwa hapo siyo mchezo.

Maana hapo ndipo wanapohitaji vichwa vya kweli, tukitoka kwenye ufisadi tunaingaia kwenye siasa halisi ambazo muda mwingi zipo kwenye ajira na kukuza viwanda sasa hao mawaziri kivuli ndipo wanapotakiwa kuwa wanasiasa na kuacha kutuma picha za maandamano. I hope wapo prepared na wana uwezo wa kuja na sera mbadala za maendeleo.
 
Anza kutuwekea wewe CV yako! Manake hiki KISWANGLISH ULICHOANDIKA HAPA NNA MASHAKA NA ELIMU YAKO. Hivi hamchoki tu jamani? Mnalipwa sh ngapi? Hamlali, hamnywi, hamuogi mkatakata yote sababu ya CDM!
 
Kama mnabisha waambieni walete C,V za hiyo Shadow Cabinet ndio mtaelewa kuwa these jokers. For this, its fair to say kuwa never in the field of human conflict in the land of Kilimanjaro...has so much damage, been inflicted on so many people, by so few...muppets!

Indeed, a piece for the opposition to ponder.

But I wonder... why the "wachaga this, wachaga that" line has always got to crawl into your disceptations?!!
 
Mchanganuo wa hoja yako na mpangilio wake na jinsi ulivyojaribu kuweka too much arts of words imnefanya kupoteza ladha yake na umuhimu wake

Anyway, let me take the positive side of your post maana wakati mwingine unadhani unamkomoa jirani kumsema kumbe ndio unampa changamoto ya kujipanga na kukuzidi mahesabu............

Hope kuna mambo ya msingi wameyasikia na wameyapata na kwa jinsi walivyo wasikivu sio kama wale ma-bunch of loosers wako kwenye ile NGO ya ujambazi wa mali za umma mnayoiita CCM, watafanyia kazi hasa maeneo ya kutokukaa kimya katika sekta zenye utata kama ulivyotoa mfano wa Libya na the likes

BTW, Salamu zangu za Pekee kwa mzee wako Makamba, mwambie tunamngoja kijiweni
 
Of course huyu paa linalo teleza analeta propaganda. Lakini pia vile vile kuna ukweli katika mambo anayosema.

Ukiangalia kazi ya Shadow Cabinet, ni kutoa an indepth response and counter policy for every thing that the government ministers put forward in Parliament, and other forum be it policy, Acts, rhetoric and this has not been done. In fact one thing that mtelezo amepatia..

Hawa kina Regia sijui Owenya sijui Lema, hawana technical capacity yakuwawezesha kufanya hivi vitu. Na kama ni hivyo basi CDM iandae utaratibu wakuweza kupata consulting services indeveloping these policies to counter the weak CCM policies.. (Kwanza mawaziri wengi wa CCM hawajui chochote kuhusu policy wanazo develop lakini wengine wana taaluma ya juu pia..) kwahiyo CDM inabidi kwakweli wajijenge uwezo wao wakufanya utafiti waki sayansi katika masuala mbali mbali yakiuchumi, kisheria, kijamii ndio kweli watakuwa wanajenga uwezo wakuendesha serikali.

Msitake wananchi tuwape nchi 2015 wakati bado hamjaweza kuonyesha mtafanyaje kupunguza BOP for instance, au facilitating investor confidence, ama strengthening the regulatory regime in the telecoms sector or health sector.... Mambo ya ufisadi well and good lakini sasa tunataka in depth technical capacity building.

Ukweli ni kwamba u might get the votes of the vast emotion driven masses but unless you can demonstrate what you can really do to improve this country IN DETAIL... watu wenye akili timamu hawataweza kuwaamini in so far as your capacity to run an economy and a country is concerned.

Just because Mustapha Mkullo is a failure, does not mean that we should trust some other id!ot ambae yuko untested..just an example.
 
Napenda independent thinking ya SlidingRoof; hajalishi atapigwa vipi mawe lakini anaanika anachoona kinastahili kuangaliwa. Sasa watu wekeni unazi pembeni, chambueni hoja yake, anaweza kuwa na makosa sehemu kadhaa (kama ninavyoona) lakini ana hoja...!
 
Nauliza tu: Hivi CV za Wabunge , mawaziri wa CCM zikiwekwa hadharani -- chini ya darubini kali si utakuta vitu vya ajabu kabisa!!! Nyingi ni za kughushi tuu iola tu bahati yao ni kwamba mamlaka husika zililzo chini ya serikali ya CCM haitaki kuchunguza. Hili limezungumzwa sana.

After all, wangekuwa na genuine credentials nchi hii isingefika ilipofika -- kama vile inaendeshwa na watoto wa darasa la 7!
 
Hapa mkuu nimekusoma nitajitahidi kuwa objective na kuondoa biasness, nadhani kuna kipindi nakuwa na prejudice najikuta nkipinga tu. Asante!
 
Nauliza tu: Hivi CV za Wabunge , mawaziri wa CCM zikiwekwa hadharani -- chini ya darubini kali si utakuta vitu vya ajabu kabisa!!! Nyingi ni za kughushi tuu iola tu bahati yao ni kwamba mamlaka husika zililzo chini ya serikali ya CCM haitaki kuchunguza. Hili limezungumzwa sana.

After all, wangekuwa na genuine credentials nchi hii isingefika ilipofika -- kama vile inaendeshwa na watoto wa darasa la 7!
Mkuu;

Hapa twende sawa, ziwekwe na si kusema zikiwekwa... Hoja ya SR ili kuonyesha haina mashiko ni vema tukingie kwenye makabrasha tuwalinganishe wa CCM na hawa wa CDM.

Wacha nikusogezee walau kidogo kuhusu Mkullo... Scanning some docs to start with...
 
Kweli Kabisa! Kesho - Jumamosi, Kamanda wetu Dr wa ukweli atamsaidia JK wenu kazi ambayo anatetemeka miguu kuifanya -- kutaja majina ya mafisadi waliomo serikalini na ktk CCM. Ajabu yenu CCM ni kwamba mnapoteza muda mwingi katika vikao vyenu vya juu kujadili mambo mnayojua ni nyeti lakini mnazunguka zunguka tu, hamtaji majina ya mafisadi -- ingawa mnakubali wapo kibao!

Dr Slaa atataja majina hayo katika mkutano wa hadhara huko Tabora na bila shaka ataiendeleza ile orodha ya Mwembe Yanga. Dr wetu ni jasiri kweli kweli kuliko Dr wenu wa kuchakachua!

Asije akadaiwa nusu shilingi! Mwenziwe anahangaika kuitafuta shillingi kwa utamu wa vyombo vya habari!
 
Back
Top Bottom