je chadema mna habari kuwa radio za taifa TBC TAIFA/TBC FM hazirushi matangazo ya bungeni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je chadema mna habari kuwa radio za taifa TBC TAIFA/TBC FM hazirushi matangazo ya bungeni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwigamba son, Jul 5, 2012.

 1. Mwigamba son

  Mwigamba son Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ili cdm muweze kueleweka vijijini ni lazima matangazo ya bunge yarushwe kupitia radio na hasa zile za taifa kinachotokea kwa sasa ni kwamba matangazo haya hayarushwi redioni na kama tujuavyo vivjijini hakuna umeme na hata ukiwepo wenye uwezo wa kumiliki tv ni wachache hivyo kundi kubwa linakuwa halijui madudu yanayofanywa na ccm na ccm kwa kutambua kuwa mtaji wao ni vijiji wameamua kuwaficha watanzania hawa wasijue yanayojiri bungeni kwa kitendo cha kutumia vyombo vya habari vya umma kwa maslahi yao kana kwamba ni vyombo vya ccm. wajue vyombo hivi vinatumia kodi ya wananchi na sii kodi ya ccm.
  Hivyo badala ya cdm kutumia m4c peke yake ili kuviteka vijiji vya ccm piganieni matangazo ya bunge yarushwe redioni kama ilivyokuwa zamani.
   
 2. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  mnataka wananchi wasikile bunge au cdm?fungueni radio yenu sasa si mko ki propaganda
   
Loading...