Tanzania: Nchi ya 'Ukitaka ubaya dai chako' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania: Nchi ya 'Ukitaka ubaya dai chako'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by status quo, Jul 4, 2012.

 1. status quo

  status quo Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  kwa kweli nimesikitishwa sana na mwelekeo wa taifa letu hususan katika nyanja ya utumishi wa umma, kwa haya tunayoyaona kwa walimu, madaktari, nk kila wanapodai maslahi yao wana pigwa, wanatishwa, na kunyamaziswa na kunyimwa haki yao ya msingi. Hali hii inanifanya kuamini ule msemo wa mitaani ya kwamba ukitaka ubaya ndugu basi dai chako uone.
   
Loading...