Huu ndio ushahidi wa Mnyika kusema Rais, Bunge na serikali dhaifu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ndio ushahidi wa Mnyika kusema Rais, Bunge na serikali dhaifu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanamayu, Jul 6, 2012.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Mwanzo alisema Rais dhaifu; baadaye amesema Bunge na serikali pia dhaifu. Hivi ujasiri huo unatokana na source hii ya information Tanzania Scorecard | Global Integrity?

  Source: Nipashe 4/7/12 na Raia Mwema 27/6 - 3/7 2012
   
 2. B

  Bob G JF Bronze Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mbona hilo liko wazi, ushahidi wa nini, kila kitu kikowazi
   
 3. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  hakuna cha ushahidi, sisi wananchi wa hali ya chini, tusio na elimu huku vijijni tayari tunajua JK, na CCM yake wameshindwa kutuletea maisha bora, sema Mnyika kakumbushia tu
   
 4. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  sasa hivi wnaugomvi na mchemba
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Jk na Magamba wote ni DHAIFU.
   
Loading...