Uchunguzi wa kipigo cha dr ulimboka kufanyika baada ya 2015......

CHEMPO

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
368
59
Tunataka tume huru,ambaya itachunguza tuhuma za kupigwa kwa ulimboka.,tofauti ya hapo mtakachokipata baada ya uchunguzi wenu pelekeni kwenye vikao vya nec ya ccm...nasi tutachunguza upya upigwaji wa ulmboka baada ya 2015,,
 
And all these murderers should know better that there will be no safe haven for them after 2015.
 
Uchunguzi independent uanze sasa kwa kuwatumia wataalamu wetu wazalendo na taarifa itolewe kwa umma wa watanzania wanaoendelea kuteseka chini ya serikali hii dhalimu, ili hatua zichukuliwe haraka.
 
Back
Top Bottom