Serikali inwaachia buku madaktari nchini,wa nje inawanunulia kuku

SAGANKA

JF-Expert Member
Jun 9, 2012
313
202
Ni jambo la kushangaza sana kuona serikali wanapata uwezo wa kusema wataleta madaktari kutoka nje kwa kuwalipa mihela kibao(zaidi ya bil. 200) huku wakishindwa kuwalipa madaktari wa nchini.Hii iawezekana vipi?Au ndo kama alivyosema dogo Aslay kwamba nyumbani baba kamwachia mama buku huku kishtobe akikamua kuku.Kweli serikali tunayo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom