Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Napenda watz wenzangu niwaulize maanake mm sijui "ivi kama mtihani wako umeshaujua na majibu umeshapangiwa utakua unaweza kuwajibika unavotakiwa kwa jitihada zako? Iv watz tukiendlea na utratibu...
0 Reactions
1 Replies
811 Views
leo hii tar 15. 07. 2012 kumefanyika chaguzi za serikali za mitaa hapa jiji Mbeya ili kuziba nafasi za wenyeviti na wajumbe walio hamia CHADEMA / Kufariki dunia jumla kulikuwa na chaguzi 7...
10 Reactions
45 Replies
5K Views
polisi wamezuia mkutano wa mbunge na wananchi wa kigamboni ambao alitaka kutoa ufafanuzi wa mradi wa mji mpya.ulikuwa ufanyike leo hapa machava.inshort wananchi wanachoshwa na ubabe wa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Samahani wana JF sikujitambulisha mimi ni myahudi naittwa EBA na baba ni pure myahudi anaitwa EBAN , mama ni mgogo wa kijiji cha Sejeli Kongwa. Mheshiwa NDUGAI mbunge wa Kongwa, naibu spika...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Jamaa alimkuta ulimboka akiwa hoi saa 12 asubuhi kwenye msitu mnene akaanza kumsaidia akiwa ametapakaa damu na alikuwa hamjui. Huyu ahojiwe vizuri anajua mpango mzima.
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Leo jioni ktk pitapita zangu barabara ya DARAJA BOVU to Uwanja wa ndege Zanzibar nimeshuhudia UMATI MKUBWA WA VIJANA wengi mno wakiwa ni Wazanzibari waislam na wafuasi wa Taasisi ya UAMSHO...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Taarifa za uhakika kutoka Manispaa ya Arusha zinasema kuwa uchaguzi wa Naibu Meya utafanyika kesho, Uchaguzi huu ulikuwa ufanyike wiki iliyopita kabla madiwani wa CHADEMA kukataa kwa madai kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naamini mchakato wa Katiba Mpya utakuwa makini kwa kuwa tume iliyoteuliwa ni makini. Maoni yangu ni kwenye masuala ya msingi kama ifuatavyo; Katiba mpya itenganishe kabisa mihimili mitatu ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Yule mkenya anayedaiwa kumteka Dr. Ulimboka na kisha kujisalimisha kwa mchungaji Gwajima hakwenda kutubu. Katika mahojiano kati ya mtangazaji Rita Chiwalo na mmojawapo wa wachungaji wa kanisa la...
13 Reactions
211 Replies
19K Views
Siamini na ngumu sana kuamini kuwa chama hiki kinachojiita kikuu cha upinzani nchini kimeteswa na sana na mkutano wa ccm Jangwani kiasi kwamba kila wakiongea hawaachi kuutaja mkutano ule, ambao ni...
0 Reactions
53 Replies
4K Views
Sidhani Nimesoma mabandiko humu ndani, na Kwenye vyombo mbalimbalivya habari juu ya Matamshi ya wazi wazi waliyoyatoa na wanayoendelea kuyatoa baadhi yawanachama wa CCM juu ya mageuzi ya kisiasa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Sisi watanzania tunaoitakia mema taaluma ya uandishi wa habari na utangazaji,tunashindwa kuamini kuwa haya yanayofanyika ITV hayajaonwa na mmiliki na watangazaji wa kituo hiki!kwani kuna vipindi...
4 Reactions
29 Replies
6K Views
JUMAMOSI, JULAI 14, 2012 08:35 NA MWANDISHI WETU WA MTANZANIA, DAR ES SALAAM WILLIAM Malecela, mtoto wa mwanasiasa mkongwe nchini, John Malecela, amemshukia Katibu Mkuu wa Chama Cha...
4 Reactions
124 Replies
11K Views
Nakumbuka wakati ule kulipotokea mauaji ya wafanyabiashara wa madini wa Mahenge na Dereva taxi, JK aliibuka na kuunda tume huru akitoa maelezo kuwa kunasitofahamu nyingi kuhusu mauaji yale. Sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunamsikiliza sana huyo Mhe. Waziri wa Jeshi. Kwa kweli ametumia busara sana; anaelewa kabisa jukumu la Jeshi. I have noticed Zanzibarian are very transparent personnels and not dirty like CCM...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
sasa ni miaka hamsini,toka tupate uhuru wa bendera,nchi yetu bado ni omba omba kwa wakoloni wale wale tulio wafukuza na kutangaza ushindi kwao. Ni miaka hamisi tukishuhudia deni kubwa la taifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naamin katiba mpya siyo tiba yaumaskini wa watanzania bali itakuwa nyenzo mojawapo ya kututoa sehemu moja na kutupeleka sehemu nyingne ambayo naamin itakuwa bora zaidi. Ninachooka katika mchakato...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lisu na Happiness Mtweve, Dodoma WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) sasa wamedhihirisha wazi kuwa kero kwa uongozi...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
aliyekuwa mgombea wa jimbo la tandahimba ambaye alidhulumiwa ushindi wake katani ahmedi katani kijana machachari leo amekabidhiwa majukumu ya kuiongoza jumuiya. uteuzi huo umefanyika baada ya...
0 Reactions
37 Replies
9K Views
TUCTA nao wamo Katika hatua nyingine, Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi (Tucta) limelipongeza Jeshi la Polisi kwa kumkamata mtu anayedaiwa kumteka na kumpiga kiongozi wa mgomo wa madaktari...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…