Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanajamvi! Wakati jirani zetu wa Kenya wameandaa kwa muda mrefu timu/wachezaji zao za Olimpiki hususani RIADHA,NDONDI kwa ajili ya Riadha, tena walikabidhiwa Rasmi Bendera ya Taifa na Rais Kibaki...
0 Reactions
3 Replies
998 Views
Mie Mkweche kwa upande wangu siungagi Mkono Migomo ya Madaktari na watu wengine wa Sekta ya Afya.Migomo nisiyoipenda ni ile ya kukataa kuhudumia wagonjwa ili WAFE kwa kukosa tiba!Kama kunamtu...
4 Reactions
54 Replies
5K Views
TAARIFA KWA UMMA Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT) kinakanusha taarifa zilizotolewa na gazeti la Kiswahili la kila Jumatano, Mwanahalisi, ambazo zinadai kupitia toleo lake namba 301 la Julai...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Chanzo cha ndani kabisa kwenye mambo ya usalama wa kimataifa kimenipatia taarifa kuwa kuna syndicate iliyopo tanzania ambao walishiriki katika kumpa sumu mwakyembe wakiwa na lengo la kuleta...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
hayo ni maneno ya john momose cheyo,na wabunge wa ccm walivyowatupu vichwani wanashangilia tu
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kama Tanganyika ikirudi tutarudisha mipaka ya 1886 kati ya Tanganyika na Zanzibar - Tanga,. Pangani, Bagamoyo, Dar es Salaam, Kilwa, Lindi, Mtwara na Mafia zinarudi Zanzibar na hamna ubavu wa...
0 Reactions
65 Replies
17K Views
Naibu katibu mkuu wa umoja wa Mataifa amerudi rasmi nchini na kuahidi kwenda kuripoti Chuo kikuu cha Dar es Salaam Maprofesa kama Magemde waige mfano wa Rose ili waepuke kuaibishwa bungeni. Hawa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika hali ya kusikitisha kumbe Mzee Sabodo alitoa msaada kwa CCM huko namanyere kwa ajili ya maji lakini zote zimeliwa. Hiyo ni kwa mujibu wa Mbunge wa namanyere huko sumbawanga amewaponda...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nashukuru ni mbunge wa CCM wa Namanyere kawaweka wazi, na mbunge akiunga mkono maji ni mwongo na mnafiki kwa wapiga kura wake
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam kwa wote, Tundu Lisu ameweka mambo waizi.Siri zote ziliokuwa zikisemwa semwa mitaani ameweza kuzitaja hadharani tenda ndani ya bunge la Tanzania.Huko nyumba tulikuwa tukisikia tu kutoka...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
kuna watu wengine wanajitaftia umaarufu tu, lusinde auawe kwa lipi? naona anabwabwaja eti kuna mtu ana mfuata fuata na probably they want to silence him, ila kumbe nae sometimes anatoa point eh...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Je Kitilya wa TRA au Kimei wa CRDB au Mchechu wa NHC au Ali Mufuruki au Ami Mpungwe au yule bosi wa PPF wangefaa kuwa mawaziri? Je wizara zipi zingewafaa?
0 Reactions
34 Replies
3K Views
kwanza SASA ni wazi tayari mahakama imepata mtendaji wake mkuu na currently muhimili huu uko ktk mchakato wake rasmi wa kujipanga, kwa kuanzia tetesi zinasema mchapakazi,mwanamichezo (former...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu tokea asubuhi leo nimefatilia kwa ukaribu mjadala wa Wizara ya Maji huko Bungeni na nadiriki kusema uwezekano wa Bajeti hii kukwama ni mkubwa. Wabunge wengi waliochangia hasa wa CCM (ambao...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naamka asubuhi nasikia kelele za walioishiwa na uwezo wa kufikiria...oh serikali inahusika...baada ya kusikiliza kwa makini nikajua yule mhusika na kifo cha ndugu yangu amepigwa na watu...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Katika hali isiyo ya kawaida mbunge machachari,kijana na mjasiriamali maarufu..,Ahmed Shabiby (mbunge wa gairo) amemlipua mkurugenzi wa shirika la maji mkoani morogoro..! huku akitoa tuhuma nzito...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sote tunashuhudia jinsi madaktari wanavyomshambulia Rais Kikwete kwa shutuma za kutozipa kipaumbele huduma za afya nchini. Kumbukumbu zangu zinaonyesha kuwa kipindi cha Mkapa hakukuwa na shutuma...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Dr Slaa, baada ya kuona kideo yake nimefarijika sana ,na kuona sasa CDM imeanza kupevuka na kuondoa woga ,kwamba inakaribia kuwa ngangari kinoma ,hili kwa sasa sina shaka nalo na ndivyo...
2 Reactions
0 Replies
908 Views
Bajeti ya Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu ni Bil. 8 lakn bajeti ya hospitals zote za rufaa ni Bil. 4. Je watu hawa ni muhimu kuliko watanzania mil.45?- dr. Lwetama.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom