Madaktari hurudisha fedha walizopewa kama mkopo kwa HESLB? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari hurudisha fedha walizopewa kama mkopo kwa HESLB?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thatha, Jul 12, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  hv karibuni kumekuwa kauli kwamba madaktari hawaruhusiwi kugoma eti kwa sababu wamesomeshwa na serikali,naomba kujua je madaktari huwa hawarudishi fedha walizotumia katika masomo kwa bodi ya mikopo kama wafanyavyo katika sekta nyingine, na kama hurudisha kwanini watu wanasema wamesomeshwa bure kana kwamba bodi huwa haiwadai fedha walizotumia katika masomo.
   
 2. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  wanarudisha mkuu..
   
 3. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kila aliyekopeshwa HELSB anakatwa within a year of employment.
  kwa madaktari ndo rahisi kwa sababu wengi wao wapo serikalini!
  Zinakatwa automatically!
   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  walipewa kwani zilikuwa za bure au msaada?
   
 5. oba

  oba JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  wanakata kama 70000 per month, take home badala ya kuwa 680000 ina baki 610000. waatirika wa hii ni wengi kama unataka ushahidi nitafute!
   
 6. Mazee

  Mazee Senior Member

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 6, 2007
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanakatwa ila ni propaganda za serikali kwani hata degree zingine gharama yake imekuwa subsidized vile vile
   
 7. Kadu

  Kadu Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Madaktari wanakatwa kama kawaida, tofauti ni kuwa wanapata mkopo 100%.

  Hiyo habari kwamba wanasomesha bure ni propaganda dhaifu za magamba na makuwadi wao
   
 8. a

  afwe JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Nilidhani wao wanapewa 100% funding sio kama mkopo. Hata hivyo wana uhakika wa kuajiriwa hivyo kama watatakiwa kulipa serikali itawapata tu
   
 9. s

  stun Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Madaktari wanapewa 100% ya 'mkopo' yes. wanakatwa immediately wakianza kulipwa mshahara (post internship). Tena ni rahisi maana wanakoajiriwa kwingi ni sekta za umma, ama taasisi za tafiti ambazo zote ziko linked na serikali. So hizo propaganda kuwa wanasomeshwa bure si za kweli mkuu!..binafsi nina ushahidi wa ninayoyazungumza.
   
 10. E

  Erastos Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuongezea hapo, wanaopata 100% ni kuanzia walio mwaka wa tatu sasa na kushuka chini, madarasa ya mbele wapo katika ma Grade kama kawa.
   
 11. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  nimeamini humu ndani watu ni waongo sana na wanaandika wasichokijua. Madaktari wanachorudisha ni meals and accomodation allowances tu! Ada, special faculty allowances, field / research allowances na books and staionery allowances hawarudishi. Kada nyingine zoote wanalipa kila kitu.acheni kupotosha uma. Daktari akidaiwa kila kitu inakuwa ngumu kwani ada ni kubwa sana for five years! Nafikiri wasiyojuwa watakuwa wamepata jibu!
   
 12. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  nimeamini humu ndani watu ni waongo sana na wanaandika wasichokijua. Madaktari wanachorudisha ni meals and accomodation allowances tu! Ada, special faculty allowances, field / research allowances na books and staionery allowances hawarudishi. Kada nyingine zoote wanalipa kila kitu.acheni kupotosha uma. Daktari akidaiwa kila kitu inakuwa ngumu kwani ada ni kubwa sana for five years! Nafikiri wasiyojuwa watakuwa wamepata jibu!
   
 13. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  nimeamini humu ndani watu ni waongo sana na wanaandika wasichokijua. Madaktari wanachorudisha ni meals and accomodation allowances tu! Ada, special faculty allowances, field / research allowances na books and staionery allowances hawarudishi. Kada nyingine zoote wanalipa kila kitu.acheni kupotosha uma. Daktari akidaiwa kila kitu inakuwa ngumu kwani ada ni kubwa sana for five years! Nafikiri wasiyojuwa watakuwa wamepata jibu!
   
 14. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  nimeamini humu ndani watu ni waongo sana na wanaandika wasichokijua. Madaktari wanachorudisha ni meals and accomodation allowances tu! Ada, special faculty allowances, field / research allowances na books and staionery allowances hawarudishi. Kada nyingine zoote wanalipa kila kitu.acheni kupotosha uma. Daktari akidaiwa kila kitu inakuwa ngumu kwani ada ni kubwa sana for five years! Nafikiri wasiyojuwa watakuwa wamepata jibu!
   
 15. Shijaf

  Shijaf Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  wewe ndio muongo na mpotoshaji wa kutupwa,kama unalo ongea huna uhakika nalo ni bora uulize wahusika ukaelimishwa kuliko kuongea kiti kwa msisitizo wakati ni uongo, doctors kama watu wengine walio kopeshwa wanatakiwa kulipa kila kitu walicho kopeshwa, hiyo kusema wamesomeshwa bure,au hawalipi baadhi ya pesa ni upotosha na ni mbinu za serikali kuhaada wananchi ili kuamini kuwa doctors hawana shukrani,KUNA BAADHI YA DOCTORS TENA MOST WALIO SOMA MUHIMBILI WANAPATIWA GRANTS,NDIO HAWARUDISHI,LAKINI MAJORITY WANARUDISHA PESA,
   
 16. B

  Blessing JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Jamani kwa nini lakini SERIKALI yetu hii ya CCM wananyanyasa MADAKTARI ? Kama kurudisha mkopo BASI kwa nini WALE KINA MKULO, CHENGE LOWASA wasirudishe WIIZI ya pesa zetu ? HII NI UONEVU SANA. MAPAPA wako Bungeni Kutaamba wakati wameiiba PESA zetu kuweka kwenye BANKI za nje alafu juu yake kututukana ETI VISENTI hii Serikali aioni ?? Haya sisi Wa TANZANIA tunaejua natunaeona tunasema kwa JK na Serikali yake kwa HAWA MAPAPA WARUDISHE PESA ZETU KWANZA ndio tutajua MADAKTARI yetu sisi wananchi wa Tanzania tutawamabia lini nawao pia kurudisha.


  KIKWETE RAIS FAKE NA SERIKALI HOVYO
   
 17. M

  Maega Senior Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wanarudisha sema wanarudisha zile za meal&accomodation, field na mambo mengine, but tution fee ndo wanapewa as grant hawarudishi. Bodi wanakata 10% ya take home ni noma aisee
   
 18. ERASTO SYL

  ERASTO SYL Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu senior member, nadhani nawewe huna taarifa sahihi katika hili swala. Madaktari kuanzia mwaka 2006/07 walianza kupewa mkopo kwa asilimia kama taaluma nyingine tu,kuna wengine walipata 20%, wengine 40%,wengine 80% na wengine 100%. Katika vyuo binafsi kama KCMC, HKMU, etc serikali kupitia wizara ya afya ilikuwa inatoa grants(ambazo ni ruzuku, hazirudishwi) kwa wanafunzi 20-25 tu kwa mwaka. Wengine wanakopeshwa au wanajisomesha wenyewe na familia zao.
  Sehemu kubwa ya wengine WAMEKOPESHWA...tena kati ya hao wale waliopata 100% ndio hatari zaidi maana wanalazimika kulipa pesa zaidi ya mil 25 wamalizapo chuo.
  Mfano mimi nilihitimu KCMC na wakati wa Graduation kuna WARAKA WA BODI YA MKOPO ULIAMBATANISHWA KATIKA CHETI ukionesha kwamba NADAIWA ZAIDI YA MIL 19. Sasa mimi nilikuwa napata 80% ya mkopo wa ada.Sasa imagine aliyekuwa anapata 100% ya mkopo atatakiwa kulipa sh.ngapi? Kwa maneno mengine ukimaliza chuo unaweza ukafikia hatua ukasema...ni afadhali ningekopa asilimia ndogo kuliko kubwa.
  Ila baadae nadhani kuanzia mwaka 2009/10, wakaanza kutoa mikopo asilimia 100 kwa wanafunzi karibu wote!!
  Kwa hiyo ndugu yangu nadhani ni propaganda za serikali tu, MADAKTARI WANAKOPESHWA, HAWASOMESHWI BURE!!

  Upendeleo uliopo kwa wanafunzi wa udaktari ni kupata mkopo bila matatizo sana na kupata ajira serikalini mapema bila kukaa mtaani. Lakini hakuna special treatment yoyote iliyo tofauti na kada zingine vyuoni.
   
 19. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kurudisha mkopo ni kunyanyaswa?
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Si bora hata hao madaktari wanatutumikia kulikoni hawa viongozi wetu waliosomeshwa bure na bado hawaridhiki wanaendelea kutuibia rasilimali zetu!
   
Loading...