Ukweli kupata wahusika wa kipigo cha daktari ulimboka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli kupata wahusika wa kipigo cha daktari ulimboka.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtumishi Wetu, Jul 13, 2012.

 1. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,984
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  Wadau nina hakika wote tuna kiu ya kujua ukweli ni nini na nani hasa wahusika waliomtesa na kumpiga Daktari wetu Ulimboka. Sasa kwa vile serikali haitaki kama inavyo onyesha kuunda tume huru ya kupata ukweli halisi wa waliohusika na kuwachukulia hatua za kisheria basi wadau waunde tume huru ya kufanya uchunguzi. Interested parties kama madaktari, UN Human Wrights Commission waruhusiwe kuunda tume huru na kupewa hushirikiano ili ukweli halisi uweze kujulikana!!!Kama itatokea kuundwa bungeni vile vile ni sawa tu ila Watanzania tunahitaji kujua ukweli wa swala hilo. Kwa maana nchi yetu bado tunaamini ni ya amani na usalama sio rouge state inayoendeshwa kidekteta!!! Tunaomba Mhe Spika Anna Makinda na wasaidizi wake waache kabisa mtindo wa kuwa mawakili wa CCM na serikali wajue kuwa wamewekwa pale kwa maslahi ya wananchi wooote wa Tanzania si kwa niaba ya chama kimoja cha CCM!!! Wasimamie kuendesha mijadala huru kwenye bunge letu tukufu akitilia maanani kuwa wahusika wakuu kwenye mijadala ya bunge ni Watanzania na usalama wao, wasidharau matukio yanayomhusu Mtanzania yeyote kama Dr Ulimboka ilivyotokea Watanzania tunataka kujua ukweli!!!! Nawasilisha!!
   
 2. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusubiri tuone.
   
 3. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,984
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  Mkuu tume huru ni muhimu ukweli uwekwe wazi, vinginevyo leo ni Dr Ulimboka kesho yake sijui ni nani, yatubidi tufikiri kwa kina!!!

   
 4. mwangalizi

  mwangalizi JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 60

  Utasubiri sana hiyo ruhusa!!!! Wewe ni mgeni nini hapa bongo?
   
 5. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Kwa Nchi yetu hii. Kwani Mwakyembe ilikuwaje.! Hakuna ki2 kitafanyika hapa mpaka CCM itoke madarakani
   
 6. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,984
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  Tume huru ni muhimu ili ianzie sasa kukusanya records za mkasa mzima, kuanzia Dr kuitwa na nani alimwita hadi kuka matwa na hao watesaji, hadi mMabwepande matesoni, mpaka anaokotwa akiwa hoi. The whole incident should be investigated to get the truth, arrest the culprits and convict them in the court of law!!Labda tusema Tanzania hakuna tena amani ni nchi ya kidekteita viongozi wanawafanyia raia wao kadili wanavyo penda kama Syria!!

   
 7. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,984
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  Kwa mtindo huu wananchi ni kama mbuzi ya shughuli unachukuliwa wafanya wapendavyo na kutesa watakavyo hajkuna wa kuuliza!!! Hii ni laana kwa CCM na serkali yake wakae wakijua, hata wakisema dua la kuku halimpati mwewe,iko siku Mungu atakumbuka watu wake!!

   
 8. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Mkuu umeongea ya msingi sana, ila tu ni wazi hata wewe huamini kuwa hayo ambayo una suggest yanawezekana, inakuwa kama ni porojo tu. Hao UN Human rights commission umetaja umetumia vigezo gani kuwa wanaweza kuwa na interest hali ni siku ya 3 tu toka wakatae kutoa assistance/support kwa madaktari chini ya mwamvuli wao wa MAT?
   
 9. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,984
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  Si lazima tupate pa kuanzia, hao jamaa wa Human Wrights ni wajaja hawataki kwa wakati huu kuonekana wana interest lakini kwa taarifa yako wanakusanya data hata Kenya watu hawakujua kuwa taarifa zinakusanywa!!! Sasa waulize kina Uhuru Kenyata na Ruto wakupe ukweli!!

   
 10. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Ni data gani hapo wanakusanya ambayo haipo wazi? That is an open case, vigezo na ushahidi ni vya kutosha kwa watu kama UN, Labda kama hujui how hizi bodies operate. Hawa wamekataa at the moment sababu haina maslahi yoyote kwao (si wamejibu hawawezi ingilia the govt? The govt my a*se!) Jiulize mambo ambayo wanaingiliaga all over the world huwa yanakuwa ya govt yao??!

  Utafananisha swala la U. Kenyata na Ulimboka unaona ni sawa? Nimuulize Kenyatta kwa vigezo vipi? As much as the man ni mhalifu (thou not legally affirmed) atleast he has the audacity to face his ICC charges tena akiwa kasimama mwenyewe! Ni kiongozi gani mwenye such shutuma anaweza kudiriki hilo hapa nchini? genuinely...
   
 11. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,984
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  Si ndio nimesema ndugu yangu tunaelekea kwenye mtiririko huo wa kwenda The Hague kwa kuangalia jinsi nchi inavyoendeshwa utaona ukweli wa ninacho kisema!!! Wizi, mauawaji, ufissadi matokeo yake ni mass movements kama Tahir Square Misri ili kupata haki, mwisho wake The Hague!!!

   
 12. Mbutunanga

  Mbutunanga Senior Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi yule mtu aliyeenda kuonge na Ulimboka kama hakuwa muhisika ilikuwaje aone mtu anayeongea naye anakamatwa yeye akakimbia? Kwa nini hakubaki na Deo kufuatilia kulikoni?
   
 13. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,984
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  Nakwambia Mkuu kesi hii ni nzuri open case kwa maana kuna sehemu nyingi tu za kuanzia investigation, wahusika ni wengi tuu ni wajibu kuwahoji kwenye tume huru tupate ukweli wa jambo hili!!!!

   
 14. M

  Mercyless JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ina maana mpaka leo wewe huwafahamu wahusika wa utekaji wa Dr. Ulimboka? Tume iliyoundwa ni jibu tosha kuwa ni nani anahusika kwani hata uundwaji wake unaonekana kama vile umefanyika kibabe babe. Mimi naishauri hiyo tume itakapomaliza uchunguzi wake, majibu wapeleke katika kikao cha halmashauri kuu ya CCM na NEC YA CCM kwani ndio wanaiamini hiyo tume tofauti na umma wa watanzania.
   
 15. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,984
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  Wanafanya mambo kibabe Mkuu lakini ubabe wao utafika mwisho, nani alijua kuwa Ghadafi atafika mwisho au Mbaraka wa Misri watafika mwisho ni bora wakaanza kujirudi wasiishie pabaya!!!

   
 16. MTEWELE G.

  MTEWELE G. Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mabwepande sasa kumegeuka Msitu wa Ngong kule Nairobi na suala la Dr. Ulimboka limeshika sura ya kisiasa zaidi, rai yangu kwa wa Tz; kila jamb wakati hvo hatuna budi kusubiri mrejesho wa tume ya JK
   
Loading...