Dr. Slaa na Mnyika kuonja Segerea?

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Muda wowote kuanzia leo dr slaa na John Mnyika watajikuta ndani ya sege dansi kwa kudharau mamlaka halali ya jeshi la polisi na Kwasasa wanasakwa vijana kazi wameingia mtaani.

Kulikuwa na ubishi wakamatwe lini ikaonekana ijumaa ndio. Siku nzuri kwani jamaa watajiju hadi juma tatu
 
wakamatwe kwani wana RB?
 
Harakati zako ni za nini? Mwanaharakati huru usiyejua hata chembe ya sheria na unaongozwa na hisia za kuokoteza kwenye vijiwe uchwara!mwanaharakati unaeogopa hata kivuli chako mwenyewe??kweli activist wameingiliwa
Dhaifu ina action, yaani huhitaji kuwa mwanasheria kujua hii ni dharau. hilo ni jina kama majina mengine activist ya nini wakati ugali upo nakula ndani ya chama tawala chama kubwa
 
Hahaha mnatokwa na povu halafu kuna mahabusu mamluki wameshatangulia sege dansi kwa ajili ya kazi moja moja tu
 
Muda wowote kuanzia leo dr slaa na John Mnyika watajikuta ndani ya sege dansi kwa kudharau mamlaka halali ya jeshi la polisi na Kwasasa wanasakwa vijana kazi wameingia mtaani.

Kulikuwa na ubishi wakamatwe lini ikaonekana ijumaa ndio. Siku nzuri kwani jamaa watajiju hadi juma tatu

Nilishakushauri sana haya mataptap unayokunywa yalishaaharibu hicho kichwa chako ndio maana unapoandika hakuna ushirikiano kati ya vidole na kichwa maana kichwa kilishaharibika!!Kwanza mnyika umemsikia akisema lolote kuhusu hilo swala? na Dr. Slaa amesema wamfungulie kesi atajibu huko, wewe ukiongozwa na mataptap uliokunywa unashabikia Segerea! kwani segerea nn? unajua Mandela alifungwa miaka mingapi?umejua kutumia pc juzijuzi basi imekuwa tabu!!nincompoop!!
 
kama mnamapenzi ya dhati na hao ndugu wataarifuni wakienda kule waende na mabounsa wa kuwalinda
 
Umetoa habari yako kitoto

jeshi lenyewe limesema halitowalazimisha kuwa hoji.
 
Hahaha mnatokwa na povu halafu kuna mahabusu mamluki wameshatangulia sege dansi kwa ajili ya kazi moja moja tu

Acha ubabaishaji weww, Dr. Slaa na Mnyika wakikamatwa ni lazima waende Ukonga ambapo pana mahabusu yenye hadhi ya watu hao na si Segerea wewe, kama hujui acha uzushi.

Lipumba hakukaa Keko wala Segerea bali Ukonga na kwa taarifa zisizo na mawaa ile Wing inatengenezwa zaidi ili iweze kuchukua watu wa aina zote na hata kiulinzi imejitengaa ili kukwepa hujuma na mambo mengine mengi.
 
we mwanaharakati jiamini, kwenda jera sio mwisho wa uhai pia tambua kuwa hana kosa lolote
 
muda wowote kuanzia leo dr slaa na john mnyika watajikuta ndani ya sege dansi kwa kudharau mamlaka halali ya jeshi la polisi na kwasasa wanasakwa vijana kazi wameingia mtaani.

Kulikuwa na ubishi wakamatwe lini ikaonekana ijumaa ndio. Siku nzuri kwani jamaa watajiju hadi juma tatu

sisi watanzania tunafikiri hawa magamba wanataka kuenda icc. Kwani ni ongo kwamba wanataka kuwaua mbona wakati ule wamepania hata anna kilango sita nk kwani ni ongo wajaribu tuu na tunawasubiri sana kwa hamu wafanye kama umezoea wamafia ccm tunawajua
 
Back
Top Bottom