Je, mwenyekiti tume ya katiba, Jaji Warioba, amechemka!?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,342
6,467
Huyu mzee vipi jamani! Eti anawataka wananchi wasing'ang'anie kujadili madaraka ya Rais sasa uhuru wa maoni huko wapi? Wananchi wanataka kusawazisha eneo muhimu la taasisi ya Urais yeye anazuia kwa nini?! Hivi hadidu rejea ndio zinamtaka aongee hivi?

Source: Mtanzania 4 July 2012
 
Hiyo tume ni JOKA LA KIBISA. Watu walioona mbali wanachua kuwa mchakato mzima huu ni ZE KOMEDI, Subirini 2014 kama tutapata katiba mpya au ya maana.
 
Kikwete kawapa hii tume wale watu mliokuwa mnawapamba eti wazalendo,wajasiri na weledi sasa tulieni mnyolewe!
 
Hata kama angechaguliwa Pof. Paramagamba na Shvji bado watu wangelalmika tu!
 
Back
Top Bottom