Wahindi 30,000, chinese 5000 , watanzania 42 million- bado maskini , tumejikwaa wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahindi 30,000, chinese 5000 , watanzania 42 million- bado maskini , tumejikwaa wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by R.B, Jul 13, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  WAHINDI 30,000, CHINESE 5000 , WATANZANIA 42 MILLION- BADO MASKINI , TUMEJIKWAA WAPI?

  privallege tulizonazo WATANZANIA 42 MILLION
  1. NDO TUMESHIKA DOLA
  2. CHAMA TAWALA NI CHETU NA WAPINZANI NI WATANZANIA
  3.TUNAMILIKI 98% ARDHI
  4. FEDHA KWENYE MABENKI TUNAMILIKI
  5. KAZI ZOTE SERIKALINI TUNAMILIKI SISI
  6. WASOMI WENGI KWENYE CHUO VIKUU NI WATANZANIA
  7. MIKATABA TUNAINGIA SISI
  8. HUDUMA ZA AFYA TUAMILIKI SISI


  TATIZO NINI TUNABAKI KUWA MASKINI NA KULALAMIKA

  ARDHI, SIASA SAFI NA UONGOZI BORA -TUNAVYO

  KIPATO
  NO 1. WACHINA
  2. WAHINDI
  3. WARABU

  MWISHO ; WATANZANIA
   
Loading...