Je bwana kikwete ana ofisi uingereza

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
708
Amekwenda kukutana na kamati ya bunge ya mambo ya nje , ulinzi na usalama huko. Sijaelewa mantiki hapa maana nafikiri kuna kitu kinaendelea hapa.

Hivi hivi walikuwa wanenda kukutana na wawekezaji kwenye hotel nje ya nchi wanauza hii nchi. Tukijakustuka mamikataba mibovu imesainiwa nje ya nchi.

Aise huu si udhaifu tu bali ni urahisi sana.
 
Attachments

  • c8.jpg
    c8.jpg
    44.5 KB · Views: 67
Amekwenda kukutana na kamati ya bunge ya mambo ya nje , ulinzi na usalama huko. Sijaelewa mantiki hapa maana nafikiri kuna kitu kinaendelea hapa.

Hivi hivi walikuwa wanenda kukutana na wawekezaji kwenye hotel nje ya nchi wanauza hii nchi. Tukijakustuka mamikataba mibovu imesainiwa nje ya nchi.

Aise huu si udhaifu tu bali ni urahisi sana.
Alikodi Ukumbi kwa hela zetu za kodi
 
Nji hii huliwa na wenye meno mkuu,
Bata kwa sana huku raia tunapukutika vifaa mahospitalini hakuna na watabibu wamegoma
 
nji hii huliwa na wenye meno mkuu,
bata kwa sana huku raia tunapukutika vifaa mahospitalini hakuna na watabibu wamegoma

e mungu ikiwa upo basi na usikie kilio cha watanganyika hawa
 
kwanza mpe heshima kama rais wako. ni Muh. Kikwete siyo Bwana Kikwete.
pili, kuna ubalozi wetu uingereza. ni ofisi yake pia.
Tatu, kukutana na kamati ya bunge ya mambo ya nje ni coincidence. kamati ilikwenda ktk kazi zake na yeye amekwenda kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa uzazi wa mpango. alitoa hotuba elekezi.

moderator nakuomba umuonye huyu bwana kuhusu kumdhalilisha Muh. Rais. Abadili heading yake la sivyo funga thread hii
 
SAWA MUHESHIMIWA WA KUZIBA. COINCIDENCE HIZO ZA KUKYUTANA LONDON NA KUFANYA VIKAO INA MAANA KUKUTANA NA KAMATI MUHIMU KAMA HIYO INAHITAJI COINCICENCE LONDON.

PILI MIMI SINA RAHISI HIVYO HUYO SIO RAHISI WANGU.

NA TATU NAMWOMBA MODERETA AJAJI KWA UMAKINI KAMA NIMDHALILISHA muh. RAHISI SI TU AIFUTE HII THREAD BALI ANILIME BAN LA MAISHA. SIWEZI KUFUMBIA MACHO UDHAIFU WA KUKUTANA NA KAMATI YA BUNGE ULINZI KWA COINCEDENCE LONDON

moderator nakuomba umuonye huyu bwana kuhusu kumdhalilisha Muh. Rais. Abadili heading yake la sivyo funga thread hii

moderator nakuomba umuonye huyu bwana kuhusu kumdhalilisha Muh. Rais. Abadili heading yake la sivyo funga thread hii[/QUOTE]
 
Ofisi za ubalozi ni sehemu ya ofisi za serikali yetu hata kama ipo Alaska.

Sasa hivi dunia ni kijiji
 
Unasemaje ? UZAZI WA MPANGO ? hivi huyu Bwana kaishachukua demu mwingine ! waswahili kwa kupenda chini.
 
Back
Top Bottom