Wito wa mapokezi ya kichama wa rais kutoka Uingereza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wito wa mapokezi ya kichama wa rais kutoka Uingereza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanaharakatihuru, Jul 12, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani wananchi tujitokezeni kwa wingi kila mara mpendwa mtukufu rais wetu arudipo tukampokee uwanja wa ndege kwa wingi wetu.
  Tumejaribu, tumeweza na tunasonga mbele.
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135  Atatuletea karanga?
   
 3. Hossam

  Hossam JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 2,367
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  Kwa uwezo wa akili yangu, nimejifunza kwamba wewe ni mwanaharakati wa ukweli. Atakayekusoma katikati ya mistari atayajua haya ima mwenye haraka atakuona ccm damu. Kuna vitu viwili 'ujinga' na 'kebehi', wewe unacho chako hapo, mwenye busara na subira na afahamu maneno yangu.
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,830
  Trophy Points: 280
  kwa tangazo hili hutompata mtu hata mmoja.
  Kwa ushauri wa haraka:
  gaweni elfu tano tano kwa wale mliozoea kuwagawia,
  gaweni t.shirt,kofia na kanga kwa wale mliozowea kuwagawia,
  pakieni kwenye mafuso wale wote mliozea kuwapakia,
  Baada ya hapo Jk atakuwa kapolewa kwa kishindo kikubwa kama unavyotarajia.

  NB. msiasahau kutoa ahadi ya ubwabwa.
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  dawa za uzazi wa mpango!
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Rais Jakaya si kama hao Wanasiasa uchwara ambao wanajitafutia umaarufu kwa maandamano na mikutano na waandishi wa habari. Jk YUKO kikazi zaidi. Kazi kwanza majungu baadaye.
   
 7. S

  SPANERBOY UDZUNGWA JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 623
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kazi gani? Au kuzurula kama mtoto wa mtaani
   
 8. S

  SPANERBOY UDZUNGWA JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 623
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kazi gani ? Au kuzurula kama mtoto wa mtaani?
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  hafu zile karanga zilikuwa mbichi au za kukaangwa?
   
 10. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  labda mimi sielewi
  • wewe ni nani?
  • tukampokee lini ?
  • saa ngapi ??
   
 11. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,100
  Likes Received: 11,251
  Trophy Points: 280
  tuvae tshrt zilizoandikwa DHAIFU na LIWALO NA LIWE.
   
 12. n

  ngokowalwa Senior Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwa kweli yuko busy na safari za kimataifa zaidi kuliko hayo mengine
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kampokeeni jamani,Anakuja na knowledge ya jinsi ya kuzaliana kwa mahesabu!
   
 14. i

  iseesa JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wasisahau na Kikundi cha TMK bendi na magitaa yao chakavu
   
 15. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kweli "KIKAZI" tumeona!
   
 16. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mmh kumpokea kwa lipi? Kwa kwenda kujifunza uzazi wa mpango??
   
 17. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu wewe great thinker trust me! Yaani hapa JF watu hamnazo kabisa wanajiita great thinker bure kabisa they can see but can't read between lines wanataka uandike kitu hata mtoto wa darasa la saba anakielewa, wanataka uweke mambo kama gazeti la kiu au ijumaa hopeless. Asante nadhani naanza kupata audience umefanya philosophy??
   
 18. meeku

  meeku JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 571
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  matonya atapokelewa na matonya wenzake. Hatuna muda mchafu. Bora kumpokea dr. Uli siku akipona.
   
 19. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: tena nasikia anashukia mabwe pande kwenda kukagua ofisi zao pale
   
 20. M

  MgungaMiba JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 28, 2011
  Messages: 890
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  Kwanini wanajamvi hamtaki kumuelewa mtoa mada? Kwani watakaokwenda kumpokea kabla hawajafika majumbani mwao kutoka kumpokea, watasikia jamaa keshanyanyua kaenda nchi nyingine, itabidi wajiandae kwenda kumpokea tena, and so The Filthy cycle goes on and on!
   
Loading...