Kauli hii ya tibaijuka sawa na ya halima mdee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli hii ya tibaijuka sawa na ya halima mdee

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by buyegiboseba, Jul 13, 2012.

 1. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wajati akihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara yake,Prof Tibaijuka alisema Serikali haiwezi kuwalindia viwanja wananchi inabidi kila mmjoja alinde kiwanja chake dhidi ya wavamizi.
  Kwa mtazamo wangi hii ni sawa na kusema,serikali haina vyombo ya ulinzi na usalama kuwalinda raia na mali zao,na isitoshe ardhi ni mali ya serikali kwanini isilinde mali yake?
  Kauli hii inweza kuchochea mapigano katika ardhi kwani wananchi wakiamua kulinda wenyewe hali itakuwa mbaya,sipati picha kule mara,kwa watani zangu wamakonde n.k wakiamua kulinda wenyewe itakuwaje.
  Mdee nae alimarisha wanakawe kulinda viwanja na atawatetea.
  Binafsi naona ya mdee na Tibaijuka zote hazifai kuigwa,japo mdee alisema jimbo,Tibaijuka alitoa wito kwa wananchi wote(nchi nzima).
  Wadau tujadili hili
  Nawasilisha
   
 2. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Ukivamia eneo la mikoko ukaikata na kujenga mjengo, ukuivamia kingo za ziwa, mito na maeneo Oevu my friend hiyo itakula kwako bila kujali nani anakulinda...wale jamaa wa nemc wana mwanasheria mmoja machachari sana...
   
 3. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Sio kweli, mbona Mchungaji Rwakatare hakuvunjiwa hekalu lake alilojenga ufukweni mara baada ya kuweka stop order?
   
 4. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pale temeke kanisa la EAGT kuliwahi kulindima risasi kwa ajili ya kulinda kiwanja.kwa weledi wa Prof.na mdee kama mwanasheria hawapaswi kulegalize uvunjaji wa sheria,CCM waliwaambia watu Arumeru mashamba yao yatarudihwa,baada ya uchaguzi wananchi waliamua kwenda kuchukua wenyewe,nadhani ndicho Tibaijuka anataka
   
Loading...