Waheshimiwa Wabunge akiwemo Mbunge Jimbo la Mwibara epukeni Siasa zilizopitwa na Wakati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waheshimiwa Wabunge akiwemo Mbunge Jimbo la Mwibara epukeni Siasa zilizopitwa na Wakati

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MUNYAMAKWA, Jul 15, 2012.

 1. M

  MUNYAMAKWA Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni jambo la kusikitisha katika karne hii ya 21 kuona kijiji bado hakina shule ya msingi,wanafunzi bado wanasafiri kilomita 8 kwenda shule za msingi za vijiji vya jirani(NAMALAMA,MWITENDE).hebu fikiria siku waalimu(shule za jirani) wakiwakatalia kuwapa admission, wataenda wakapate wapi elimu hawa watoto wa maskini.Hili halihitaji nguvunyingi kulitekeleza ukizingatia wakati wa kampeni zako za kuomba kura suala la elimu ulilipa kipaumbele,au unasubiri kwenye dakika za majeruhi uje na visingizio na longolongo kibao yaani siasa zilizopitwa na wakati 'Oh mimi......!!!??i halafu bila aibu mwishoni useme ' niongezeni muda.......'.Nina wasiwasi kama unafahamu vema sera, mikakati na dira ya chama chako kilichokutuma ukaombe ridhaa ya wananchi ili kushughukia kero na changamoto zinazowakabili!!!! Hata hivyo hujachelewa p/se work on it!!!
  Chanzo (REAL): Munyamakwa
   
Loading...