Muda umefika kwa ccm na cdm kufanya siasa zenye tija! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muda umefika kwa ccm na cdm kufanya siasa zenye tija!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jaffary, Jul 15, 2012.

 1. Jaffary

  Jaffary JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Tumekuwa tukishuhudia matukio kadha wa kadha ambayo ama yamesababisha vifo au majeruhi au uharibifu wa mali za watu au umma!
  Nafikir muda umefika kwa hivi vyama hasimu kuafikiana na kufanya siasa safi na zenye tija kwa jamii otherwise tunakoelekea kutakuwa kubaya sana japo mimi si mtabir!
   
 2. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hayo hayana budi kutokea, kwa kuwa "siasa na vita" ni kitu kimoja. tofauti tu ni kuwa "Siasa ni vita bila kumwaga damu, na vita ni siasa ya umwagaji wa damu". isipokuwa, inapobidi, siasa hugeuka kuwa vita, endapo walioko madarakani hawataki kukubali umma uamue hatima yake kwa njia ya amani, wakati mvuto wao kwa umma unapokuwa umekwisha. Wakati umefika, ambapo hayo hayana budi kutokea. kama hupendi kuyaona, hama nchi, au kufa kabla hayajatokea.
   
Loading...