Kwanini Wakurugenzi wa Bodi mbalimbali ni wastaafu?

emgoa

Member
Jun 23, 2012
11
1
Imezoeleka sana Bodi nyingi wakurugenzi wake ni Wastaafu. Sasa hii ni kwamba ndo wana sifa za kufanya hiyo kazi kuliko wengine? Ni kupeana Ulaji/Kubebana? Lazima Bodi ya wakurigenzi wawe wazee?
 
Back
Top Bottom