Kikwete na Lowassa ughaibuni! Mbona kila mmoja kivyake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete na Lowassa ughaibuni! Mbona kila mmoja kivyake?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzalendo Mkuu, Jul 13, 2012.

 1. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Picha hii imewanasa wanaosemekana kuwa MARAFIKI wakubwa katika historia ya siasa za Tanzania. Hapa jinsi walivyokaa ni kama kila mtu yuko kivyake! Any way wamekutana London na wanakumbushia enzi zile za kilele cha urafiki wao.
   
 2. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jamaa hata hawatazamani imekuwaje? Angalau wangeonyesha kuwa walikuwa kwenye mazungumzo maana hapa haionyesha kama walikuwa pamoja kwa picha tu.
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kwa hao jamaa kua huko uk mnajua wanakula kiasi gani kwa siku? acheni nyie
   
 4. Ungana

  Ungana JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You,the unthinking... Watazamane ili iweje?
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  EL mbona kama afya iko ,....! au majicho yangu!!?
   
 6. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,090
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180
  ISIJEKUWA KUNA MKATABA MWINGINE UNASAINIWA HOTELINI???? CHONDEx2 MABWEPANDE??????????????
   
 7. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,187
  Trophy Points: 280
  Chonde chonde mabwepande.=ccm
   
 8. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Keep your friend's close, and your ENEMY closer
   
 9. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  ulitaka wasile, au ukale nao .
   
 10. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  Hawawakukutana barabarani ebo!!!!!
   
 11. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,001
  Trophy Points: 280
  Wanatakiwa wapigwe mawe mpaka wafe ndo wamefisili nchi yetu.
   
 12. Mhoja

  Mhoja JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Acheni ushabiki, hao ni viongozi wa kitaifa.
   
Loading...