Hivi mambo haya bado yanaruhusiwa kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mambo haya bado yanaruhusiwa kweli?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAKOLE, Jul 15, 2012.

 1. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nilisikia watoto wadogo si ruksa kushiriki siasa, sasa inanishangaza hapa wakati wa mapokezi ya NAPE huko Rukwa. Tazama picha hii kwa mujibu wa MICHUZI Blog.

  13.jpg
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Wapi watoto walikatazwa? Mbona mbunge wa Mbeya mjini ni mtoto
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Eeh!
  Kuweni makini, usikute wana vitambulisho vya kupigia kura hao!!!! Manake hakuna ajuaye jk alipigiwa kura na nani!!!
   
 4. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha'ha'ha'ha'ha umenichekesha sana ndg, yawezekana
   
 5. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hah,hah,,,mh
   
 6. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,090
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180
  Watoto hawaruhusiwi kwa wapinzani ila kwa chama tawala wanaitwa chipukizi kwa raha zao
   
 7. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  wamerudisha chipukizi,!??? ukute hao watoto walishalambwa stick na walimu wao ili wakubali kuvaa rangi hzo, hebu watazame sura zao!
   
 8. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,927
  Likes Received: 950
  Trophy Points: 280
  Hao ni chipukizii wa chama cha maulaji.
   
 9. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Kamuulize mwalimu wako definition ya mtoto. Ukishapata jibu jiulize kama Mbunge wa Mbeya Mjini ni mtoto au kijana
   
 10. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mkuu unashangaa nape kupokelewa na WATOTO?akubaliki kwa WAKUBWA!!!!!!!!!!!!!na watoto nilaisi kuwarubuni,ukinunua mifuko kadhaa ya pipi umemaliza kazi, hata JOSEPH KON wa Uganda alianza ivyo ivyo
   
 11. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280

  Unapima akili au miaka ya kuchafua hewa duniani?
   
 12. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha! masikini hapo utakuta ni watoto wa shule ya msingi wamelazimishwa na walimu wakuu(ambaye analinda kibarua chake na ufisadi wake) na kuwadanganyia juisi na mavazi mkuu.
   
Loading...