Baada ya Sumbawanga, leo saa saba mchana ni Mpanda, team ya Nchemba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya Sumbawanga, leo saa saba mchana ni Mpanda, team ya Nchemba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by STK ONE, Jul 15, 2012.

 1. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Team ya Nchemba, akiambatana na mawaziri watano, Dr. Magufuli, Dr. H. Mwakyembe, S. Wassira, Prof. A. Tibaijuka na A. Mwandry wakiongozwa na Kijana mlopokaji N. Nnauye, watahutubia katika viwanja vya Kashaulili mjini Mpanda, lilipo jimbo la Chadema linaloongozwa na Mbunge makini sana, Said Amour Arf. Mtangazaji wa habari hizi amekuwa akiongea kuwa wanakuja mawaziri wenye dhamana kwa serikali na siyo Mawazir VIVULI wa CHADEMA wenye PROPAGANDA. Kama kuna kitu wakazi wa Mpanda mjini hawakipendi ni kuizungumzia vibaya CHADEMA NA kibaya zaidi mbunge wao ndugu SAID AMOUR ARF. Pinda analifahamu vizuri hili kwani amewahi kuzomewa hapa mara kadhaaa kwa kumtaja vibaya mbunge wetu. Bila shaka tunaamini amewapa ilani makada wake ili wawe makini na maneno yao, vinginevyo, TUTAWAZOMEA NA MKUTANO UNAWEZA USIISHE. Nimepita kituo cha polisi cha wilaya nikakuta FFU wanajifua kwa mazoezi, sijui kama ndiyo maandalizi ya kulinda mkutano wa kesho. Walinde kweli amani ili yasitokee yaliyotokea KATA YA KANDO HUKO SINGIDA. Naomba kuwasilisha.
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwanini mawaziri wanatumia kodi ya walalahoi kufanya 'campaign' badala ya kazi walizepewa?
  Mtu kama Dr Mwakyembe anapata wapi ujasiri wa kwenda mpanda kupiga propaganda za kisiasa wakati nchi haina hata ndege moja, airport inanuka mikojo?
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Kuwazomea haitoshi, ikibidi wapondeni mawe muwaue kama mlivyofanya huko Iramba.
   
 4. BIG Banned

  BIG Banned JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wakifika wamwagieni *****!!.
   
 5. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mfamaji haachi kutapa tapa.
  Nyie ccm mpaka tuwazomee ndiyo mjue mmepoteza mvuto mbele ya jamii hii ya watanzania.
  Na hao mawaziri na hisi hao ni masalia wachache sana yaliyo namvuto mbele ya jamii. Walikuwa wanamtumia mzee watu Ben, ila kilicho mpata arumeru hata rudia tena. nahao mawaziri wetu siku zinakuja na siombali ambapo hawata subutu kupanda jukwaani kuzungumza neno. wajue sisi watanzani siyo wa miaka ya1970. sasa hivi tunauelewa wakutosha na pia niwafuatiliaji wa siasa. pale tunapo danganywa tunajua na huwazi kumdanganya mtu kila wakati na kila mahali. na jua 40 yao inakuja .
   
 6. a

  andrews JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  MMEMSAHAU PINDA NA KIKWETE:sleepy:
   
 7. t

  thatha JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Makamanda wanaenda kukinukisha.,safi sana,wembe ni ule ule mpaka kina mangi watie adabu
   
 8. t

  thatha JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Nape ndio dawa yenu anawakimniza kama mbwa mwizi ,we unaejifanya kumkejeli waulize mabwana zako watakwambia.
   
 9. t

  thatha JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Wape wape wapeeee,mzee wa barabara,mzee wa makilomita,mama tibaijuka waambie hao,nape maliza kabisa,hicho ndio kikosi kamili cha maangamizi,tia maji nyoa hao kwa wembe butu
   
 10. t

  thatha JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Waelezeni watanzania wajue ukweli achananeni na wazinifu walioshindwa ndoa zao wanabaki na uzushi mitaani,
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Duh Mkuu Burn Karudi unahamasisha mauaji?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Acha kuropoka jikite kwenye hoja. Inakuwaje mawaziri wanatumia kodi ya serikali kwenda kufanya kampeni za Chama kinachopata ruzuku ndio wanajiua kisiasa. Huu ni muda wa kutekeleza ahadi lukuki za mr dhaifu mojawapo ikiwa ni ile ya kuibadilisha kigoma kuwa Dubai
   
 13. RUBERTS

  RUBERTS Senior Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Afadhali wazinifu wasiokula mali ya mtu kuliko wazinifu (Dhaifu) wanaotumia mali ya umma kufanya utalii Ulaya kila siku.
   
 14. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nape na timu yakto swali..je Mnatafuta nini katika iyo mikutano wakti tayari mna serikali? Mikutano yenyewe AIBU MAHUDHURIO AMA NDO NJIA YA KUMREJESHA WASIRA GOMBE NATIONAL PARK KUPITIA NAMANYERE BAADA YA SIASA KUMSHINDA?
   
 15. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,957
  Likes Received: 1,280
  Trophy Points: 280
  wakumbushe Lulu na Komba, Vicky Kamata na Mkulu, Chemba na wake zao! Ha ha ha ha
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kwa kuwa wewe huwa una pumuliwa kisogoni hivyo unadhani ni wanaume wote..kafie mbali na huyo pepo wa kugonolewa nyuma..
   
 17. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Hii system mpya sijui wameitoa wapi? Maendeleo hayatangazwi, yanaonekana! Mama Tibaijuka, hizo pesa mnazochoma huko ingefaa sana kama mngewalipa watu fidia zao stahili za ardhi badala ya kulia ufinyu wa bajeti.
   
 18. blackberry m

  blackberry m JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 542
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 80
  Hii ndo Tanzania, ni zaidi ya uijuavyo.
   
 19. P

  Ptz JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Hata Sumbawanga walitangaza kuwa atakuwepo Magufuli, Tibaijuka na Wasira badala yakaja kama walivyokuja jana yaani Nape, Maghembe, Malima, Ole Nangolo, Lwenje, Tizeba na Mwanry wote manaibu mawaziri kasoro Maghembe na ndo watakuja hao hao, ushauri wangu msiwarushie mawe wala kuwazomea wasikilizeni tu kwani hawana jipya ni kuahidi ahidi kama wako kwenye kampeni!
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mkutano wa Iramba ulikuwa wa chadema ukavamiwa na ccm. Wa Mpanda ni wa ccm, chadema hawana utamaduni wa kuvamia mikutano ya ccm
   
Loading...