meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
kwa muda wa mwezi mmoja na nusu nimeshuhudia barabara za katikati ya mji wa arusha zikiwekwa lami kwa kasi ya ajabu.tukifumbia macho mambo mengine mengi tunaweza kuita haya yanayoendelea arusha nimafanikio makubwa.
Swali langu ni moja na jepesi tu,
JE KWA MAFANIKIO HAYA NI CHAMA KIPI KINASTAHILI SIFA KATI YA CCM NA CHADEMA?
Swali langu ni moja na jepesi tu,
JE KWA MAFANIKIO HAYA NI CHAMA KIPI KINASTAHILI SIFA KATI YA CCM NA CHADEMA?