British medical journal wameandika hivi

raymg

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
842
214

Activists call for more measured response to Tanzanian doctors' strike
BMJ 2012; 345 doi: 10.1136/bmj.e4698 (Published 10 July 2012)
Cite this as: BMJ 2012;345:e4698

Author Affiliations
Tanzania's fragile public healthcare system has been severely damaged by the government's approach to industrial relations, says a group of religious leaders, opposition politicians, and trade unionists. They are calling on the government to reconsider its decision last week to dismiss 300 striking doctors to try to resolve a long running dispute over pay and conditions.

Tanzania has one of the world's lowest ratios of doctors to population, with only one trained doctor per 30000 people, the United Nations Development Programme says, so can ill afford to lose so much of its workforce. In the United Kingdom the proportion is one per 440 people, and in South Africa it is one per 1200.

A ninth of Tanzanian children die before their fifth birthday. One in 24 Tanzanian mothers will die during childbirth.

Junior doctors in state hospitals have been involved in a series of strikes since last January. The government has dismissed doctors' demands that their salaries be tripled-from 950000 Tanzanian shillings (£390; €490; $620) a month to 3.5 million shillings-and has offered a maximum of 1.2 million shillings, noting that doctors already earn double the average salary of other public sector workers.

The government obtained an injunction against the strike on 22 June, which was largely ignored; and then the situation was greatly inflamed by the mysterious kidnap and beating of the striking doctors' leader, Stephen Ulimboka.

Ulimboka was found bound, gagged, and badly injured in Pande forest on the outskirts of Dar es Salaam the day after being kidnapped by unknown assailants on 26 June. He is currently in intensive care in hospital in Johannesburg after having been flown out of the country for his safety, said the secretary general of the Medical Association of Tanzania, Edwin Chitage.

The government has denied any involvement, but last week an opposition spokesman used parliamentary privilege to name a policeman from the Criminal Investigation Department whom Ulimboka had claimed was one of his assailants and called for an independent inquiry.

On 7 July a group of religious leaders and activists issued five conditions to the government that they suggested were needed to end the dispute. These included withdrawal of the lawsuit on the strike filed by the government at the High Court, reinstating all sacked doctors, and resumption of negotiations. They also demanded that the government give assurances on the security of doctors and the establishment of an independent commission of inquiry to investigate the kidnapping of Ulimboka.

The local Guardian on Sunday newspaper estimates the average cost of training a doctor in Tanzania at $40000, which means that the 300 doctors sacked last week cost the taxpayer $12m to train.1

One of the strikers' supporters told the BMJ: "There are many countries nearby and further afield who would be happy to receive more doctors, especially when they have not paid a penny for their training. If Tanzania wishes to retain their highly educated and skilled native doctors they must surely find a way out of their current impasse. Beating doctors into submission seems an ill advised way of going about this."

Notes
Cite this as: BMJ 2012;345:e4698
 
Ni mkweli mtupu huo, suala la madokta limepuuzwa na kuchukuliwa kisaniiii sana.
 
Na masikio mkuu, juzi nilikutana na jamaa mmoja kasema nchini kwao wanahitaji sana madaktari watafanya internship na kuwa absorbed kwenye serikali yao ni huku huku East Africa kwetu

AHEM!

Hujambo Maeskron ?
 
Ngoja twende rwanda tukafanye internship huko na ajira watatupa huko ,tuwaache nawana siasa wenu ,coz hata wananchi munaungana na serikali yenu kutugandamiza furaha yenu muone sie tunaishi maisha ya taabu ,kazi kwenu
 
kwa mchanganuo wa matumizi ya hapo juu ya kumtengeneza doc mmoja na kisha kumlipa mara 2 zaid ya watumishi wengine kinachoonekana kwa madoc wetu ni ukosefu mkubwa wa uzalendo au kutokujua wanachofanya,nawaonea huruma sana
 
Waseme na hizo ratio zilikuwa ngapi kabla ya Kikwete na baada ya miaka ya uwepo wake. Nakuhakikishia hawawezi.
 
nendeni tu huko ila kaeni mkijua kule kama ww ni doc wa serikali bac ni serikali tu hurusiwe hata kuchoma sindano hospital za mitaani, dah sijui kama mtaweza maana wa wadogo kwa tamaa hamuwezekan
Ngoja twende rwanda tukafanye internship huko na ajira watatupa huko ,tuwaache nawana siasa wenu ,coz hata wananchi munaungana na serikali yenu kutugandamiza furaha yenu muone sie tunaishi maisha ya taabu ,kazi kwenu
 
Mnyika alisema nchi imefikia hapa kwa sababu ya udhaifu wa Rais Kikwete,uzembe wa Bunge na upuuzi wa CCM. The best quote of the year.
 
kwa mchanganuo wa matumizi ya hapo juu ya kumtengeneza doc mmoja na kisha kumlipa mara 2 zaid ya watumishi wengine kinachoonekana kwa madoc wetu ni ukosefu mkubwa wa uzalendo au kutokujua wanachofanya,nawaonea huruma sana
unadhani huo muda aliojitolea kusomea udaktari sio uzalendo?
Hivi daktari akienda dukani anapewa sikari bure?kuna madaktari wamejisomesha IMTU kwa malipo ya USD....nao pia waliitia serikali hasara ?
Walipeni hiyo milioni tatu walipe deni la masomo.
Isitoshe madaktari wana wazazi,mababu,mabibi,wajomba na mashangazi ambao wamelipa kodi za kuwasomesha.
 
When you have a president whose only dream was to become a president and enjoy taxpayer's monies for travelling and luxerious life, it is logical to get what we are getting out of him. Our problems were not part of his presidential aspirations.
And he never even knew what was he going to do for his country as the head of state. He can't make tangible decision for his people. Bado anajinasabu anatokea kwenye familia ya chief, yes he is from a chief family that's why he can't make strong decision due to his life background, may be!
 
kwa mchanganuo wa matumizi ya hapo juu ya kumtengeneza doc mmoja na kisha kumlipa mara 2 zaid ya watumishi wengine kinachoonekana kwa madoc wetu ni ukosefu mkubwa wa uzalendo au kutokujua wanachofanya,nawaonea huruma sana
Wewe unafikiri kusomea fani ya udaktari au uhandisi ni sawa na masomo ya ungwini? Its not easy dude! only people who don't know the truth can talk the way you are trying, na hii inatokana na mfumo mbovu wa kutowatumia watalaamu wetu ipasavyo. Najua unaelewa lakini unapindisha kwa makusudi ama hii ndiyo kazi yako au hujui kabisaaaa au unafuata mkumbo. Jaribu kuwa mdadisi zaidi utajiepusha na mambo mengi ya ajabu ajabu.
 
Waseme na hizo ratio zilikuwa ngapi kabla ya Kikwete na baada ya miaka ya uwepo wake. Nakuhakikishia hawawezi.

Zilikuwa tofauti, kwa maana ya hazikuwa na EPA, Dowans, stimulus package na national debt less than Tsh 7 trillion.
 
unadhani huo muda aliojitolea kusomea udaktari sio uzalendo?
Hivi daktari akienda dukani anapewa sikari bure?kuna madaktari wamejisomesha IMTU kwa malipo ya USD....nao pia waliitia serikali hasara ?
Walipeni hiyo milioni tatu walipe deni la masomo.
Isitoshe madaktari wana wazazi,mababu,mabibi,wajomba na mashangazi ambao wamelipa kodi za kuwasomesha.
Mkuu hajui!! inauma lakini mtu kama huyu hata umwambiaje kama hajaamua kubadilika ni kupoteza muda.
 
Ni mkweli mtupu huo, suala la madokta limepuuzwa na kuchukuliwa kisaniiii sana.

Kwa sababu wakuu wa nchi ni wasanii, kwa hiyo wanachukulia mambo kirahisi mno. Pili, kwa wao fangas zikipanda kichwani wanaenda kubadili damu na kupata matibabu nje ya nchi...
 
Back
Top Bottom