Ndugai aelezea kwanini alimwita Mdee 'kituko' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugai aelezea kwanini alimwita Mdee 'kituko'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyakageni, Jul 15, 2012.

 1. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha Star Tv leo akijibu swali nililouliza na kurudiwa na Uswe wa jF alijibu, 'Mdee alionesha dharau na kubinua vidole'

  my take:
  ungeomba radhi ingekuwa bora kuliko kumtusi. Na utetezi ni kujikosha tu kwani tuliona Live na pia hata body language yake na yako na pia wageni wa studio akina Lissu na Machali imeonesha kuwa unadanganya.

  Ukweli utabaki kuwa unachukia upinzani na ndo maana hata umekosa uvumilivu katika studio za Star Tv leo
   
 2. H

  HuwaSikasiriki Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hebu tujiulize watanzania. Mtu akikunyooshea kidole kimoja cha shahada huwa inamaanisha nini? Binafsi huwa ninaona ishara hiyo hutolewa na mtu akikasirika kwa maana ya kumtukana. Kuna tofauti gani na kusema "wewe ******* nini? au "wewe unakazwa nini?", au "wewe unafanywa nini?",. Hivi ukiambiwa hivi utahangaika kujiuliza kutiwa ni nini, maana kwenye dictonary kutiwa au kukazwa au kufanywa hakuonyeshi kwamba ni tusi.

  Sasa hayo ni maneno, zipo na ishara, tena nyingi tu. Hebu tujiulize watanzania. Mtu akikunyooshea kidole kimoja cha shahada huwa inamaanisha nini? Binafsi huwa ninaona ishara hiyo hutolewa na mtu akikasirika kwa maana ya kumtukana. Kuna tofauti gani na kusema "wewe ******* nini?".

  Ukweli Halima Mdee alifanya kitendo sawa na yule Mwenyekiti Mabumba aliyemwambia John Mnyika "Hivi unawashwa nini?"

  Nakumbuka kuna wakati hapa nchini Hadija Kopa na Nasma walitunga taarabu iliyoleta sokomoko kwa wimbo usemao "wadudu wananyemvuanyemvua". Ndiyo yaleyale.

  tatizo siku hiyo TV zote za Bunge zilikuwa zinamuonyesha Job Ndugai aliyekuwa amesimama anajibu swali hivyo hazikuwa zimemlenga Halima Mdee, kama jinsi kwenye fainali za kombe la dunia za Mwaka 2006 ambapo TV hazikumuonyesha Zinedine Zidane wakati anampiga kichwa Materazi na isingekuwa kutorudiwa kwa TV (replay) nbasi tusingeona alivyomtwanga kichwa.

  Lakini katika kujitetea Zinedine pia alijitetea kama Job Ndugai kwamba alitukanwa matusi ambayo yalisikika kwa waliomo uwanjani tu na TV zisingeweza kuona au kusikia.

  Hiyo inaitwa "Provoking".

  Nina uzoefu binafsi hata kwenye magovmi ya familia, mtu huwezi kuja kuniambia kwamba fulani kamuua ndugu yake kwa ugomvi wa shilingi moja. Lazima nichunguze jambo kubwa lililojificha nyuma yake. Maana provoker hupenda kutumia public kama silaha yake kwa sababu sisi public hatukujua nini kilitokea nyuma ya pazia.

  Lakini provoker naye hufanya hivyo akijua kwamba jamii inayomzunguka ni mazuzu ambayo hayatajikita kutafuta ukweli wa chanzo.

  Jiulizeni, ni nini historia ya Halima Mdee kulingana na maadili? Je, kesi yake aliyoshitakiwa na James Mbatia ilikuwa na msingi gani? Je, haukuwa msingi wa matusi?

  Je, kwa nini Halima Mdee huyohuyo na kwa Naibu Spika huyohuyo mwaka jana aliambiwa neno kubwa zaidi kwamba "Bungeni si mahala pa kuvutia bangi?" .

  Ukweli Halima Mdee alifanya kitendo sawa na yule Mwenyekiti Mabumba aliyemwambia John Mnyika "Hivi unawashwa nini?"

  Nakumbuka kuna wakati hapa nchini Hadija Kopa na Nasma walitunga taarabu iliyoleta sokomoko kwa wimbo usemao "wadudu wananyemvuanyemvua". Ndiyo yaleyale.

  tatizo siku hiyo TV zote za Bunge zilikuwa zinamuonyesha Job Ndugai aliyekuwa amesimama anajibu swali hivyo hazikuwa zimemlenga Halima Mdee, kama jinsi kwenye fainali za kombe la dunia za Mwaka 2006 ambapo TV hazikumuonyesha Zinedine Zidane wakati anampiga kichwa Materazi na isingekuwa kutorudiwa kwa TV (replay) nbasi tusingeona alivyomtwanga kichwa.

  Lakini katika kujitetea Zinedine pia alijitetea kama Job Ndugai kwamba alitukanwa matusi ambayo yalisikika kwa waliomo uwanjani tu na TV zisingeweza kuona au kusikia.

  Nakumbuka mwaka 1993 wachezaji wa Simba waliwahi kupigwa huko Sudan mwaka 1993 baada ya John Nteze kufunga goli la ushindi kuishinda El-Mereikh ya huko kwenye kombe la CECAFA. Simba walishangilia goli kwa kuwazomea washabiki wa Sudan kwa kuwanyooshea vidole kama Halima Mdee alivyofanya. Washabiki wa Sudan hawakulivumilia hili, wakakasirika wakaingia uwanjani wakaingia uwanja wakawapiga wachezaji wa Simba na mechi ikavunjika na Simba haikuingia fainali.

  Hiyo inaitwa "Provoking".

  Nina uzoefu binafsi hata kwenye magovmi ya familia, mtu huwezi kuja kuniambia kwamba fulani kamuua ndugu yake kwa ugomvi wa shilingi moja. Lazima nichunguze jambo kubwa lililojificha nyuma yake. Maana provoker hupenda kutumia public kama silaha yake kwa sababu sisi public hatukujua nini kilitokea nyuma ya pazia.

  Lakini provoker naye hufanya hivyo akijua kwamba jamii inayomzunguka ni mazuzu ambayo hayatajikita kutafuta ukweli wa chanzo.

  Jiulizeni, ni nini historia ya Halima Mdee kulingana na maadili? Je, kesi yake aliyoshitakiwa na James Mbatia ilikuwa na msingi gani? Je, haukuwa msingi wa matusi toka mdomoni mwa Halima Mdee?

  Je, kwa nini Halima Mdee huyohuyo na kwa Naibu Spika huyohuyo mwaka jana aliambiwa neno kubwa zaidi kwamba "Bungeni si mahala pa kuvutia bangi?" .

  Tuache utani. Siwapendi CCM lakini tunaweza kuwaondoa CCM bila kuwatukana hata tusi moja.
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Ndugai aondoe kwanza wagogo wenzie mtaani dar
   
 4. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hata sielewi kitu hapa.
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  dole la kati ndo tusi,,,,,,,,kuna mchezaj aliwah kuadhibiwa kwa kuonyesha kidole cha kati,,,,,,,cha shahada c tusi
   
 6. U

  Uswe JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  pale ndio inaonesha uhalisia wa kiongozi, was very tricky to him, ni afadhali angekwepa kujibu
   
 7. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  kwa nini mkuu?
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 893
  Trophy Points: 280
  ukiona mtu anatumia kauli za 'unawashwawashwa', 'kituko', ujuwe ameishiwa hoja, na sasa anajaribu kushambulia saikolojia, kitu ambacho huwa hakifanikiwi, hasa kama anayeshambuliwa ni strong. sina shaka na uimara(kifikra) wa John na Halima na Watanzania kwa wingi wao.
   
 9. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  Nadhani Ndungai anajikosha tu!
   
 10. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  kabisa mkuu! Kazidi kujichafua na hata ile introduction yake ilionesha kuwa he did it deliberately.
   
 11. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  Mdee yuko strong sana na ni mtoto wa mjini. Hawezi kum win kwa njia hiyo. Makinda mwenyewe kapoteza umaarufu kwa ku attack upinzani hasa Mdee
   
 12. U

  Uswe JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  it wasn't deliberate, but Ndugai won't say that kwa sababu tutamwambia aombe radhi/afute kauli.

  alikua provoked (according to him) and his anger got the better off him
  , he acted out on impulse, without self-thought. . . but he will never accept kwamba he actually acted bila kufikiri
   
 13. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  yeye Ndungai alisema kabinua vidole
   
 14. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Kwi kwi kwi mi chichemi.
   
 15. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  Uswe, his body language depicts everything even a 'cold smile' from both Lissu 'chief whip' and Machali shows that he was displacing the truth to defend his personality.
   
 16. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  1kB brainned?
   
 17. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  1kB brainned?
   
 18. Masaningala

  Masaningala JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 539
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Hekima inaniambia kuwa kiongozi mzuri na mwenye maadili mema hastahili kujibu mapigo kwa njia ya matusi au mashambulizi ya kutoa lugha ya maudhi hata kama anaona kudharauliwa. Kuna kiongozi wa karne mmoja maarufu sana (Yesu). Alipotukanwa na watu hadharani, alisema, "baba uwasamehe maana hawajui watendalo". Maneno haya yamejaa maadili ya uongozi wenye uvumilivu na upendo. Ndugai ameonekana kutokidhi sifa ya kiongozi bora maana amejaa chuki na ubinafsi. Namshauri atafute na kusoma kitabu kiitwacho - Jesus the CEO kinaweza kumsaidia kama anataka kuwa kiongozi wa mfano.
   
 19. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mkuu, sikujua kama na wewe ni Mheshimiwa Mbunge, na ulikuwemo mjengoni na ukamuona Halima 'akibinua vidole'. Au wewe ni miongoni mwa wale askari waliomtoa nje Machali?
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Kama kiongozi, hasa wa bunge, he is responsible to act accordingly whether provoked or not! Na kuongelea provocation iliyotokea badala ya kukiri kuwa he acted unprofessionally, that makes him really unprofessional. Sorry, nasahau hakuna kitu kama professionalism kwenye gutter politics.
   
Loading...