SACP Kova & IGP Mwema must resign

RedDevil

JF-Expert Member
Apr 30, 2009
2,368
1,518
Kutokana na kutoa taarifa za uongo zinazoendelea kulichafua jeshi la pilisi pamoja na serikali, Its time now viongozi hawa wawajibike kama kweli hawako pale kisiasa. They must respect the Police Army and citizens of Tanzania, si kwa nia mbaya ni kwa kujali zaidi maslahi ya nchi na mustakabli wa taifa na usalama wake.

Kova na Mwema wajiudhuru kuonyesha nidhamu jeshinu, uungwana na professional ethics.
 
Wamekaa na huyo mtuhumiwa tangu tarehe June 26 bila kusema lolote. Wamemuweka kizuizini bila kumfikisha mahakamani kwa zaidi ya wiki
 
Tumejenga taifa la watu waongo waongo na wahuni. Believe me you,hakuna atakaye jiuzulu wala kukili makosa.
 
Wapi Nape,Le mutuz,Zomba,Ritz na Nchemba.Serikali inazid kuonyesha udhaifu wake
 
To resign is UNTANZANIAN, this will never happen it Tz. Right now they are busy fabricating another story to clean the mess!!
 
Kwakweli nakuunga mkono 100% na nchimbi ina bidi ajipime pia!
 
Tumejenga taifa la watu waongo waongo na wahuni. Believe me you,hakuna atakaye jiuzulu wala kukili makosa.
Nahisi walikuwa wametumia muda wote huo kumframe kwamba ni Mkenya. Bahati nzuri ubalozi wa Kenya unahakiki hilo. Kova atakujakuwa impeached for his lies
 
Mwenye kumbukumbu naomba mnikumbushe.
Kuna askari polisi yeyote aiyewahi kujiuzulu hapa nchini? Hasa kwa kuwajibika tuu kwa jambo fuilani?
 
Ngoja Saidi Mwaipopo na timu yake waibuke, watawashitaki na wataandamana.. Eti mnawaambia Saidi Mwema, Selemani Kova na Hemedi Msangi wajiudhuru? Shauri yenu mimi siiipo
 
Tatizo la tanzania ni uongo unaanzia tume ya uchaguzi pale unakuja mahogoni na unasambaaa kila mahali
 
for this case i support you

i hate my government kwa kuundanganya UMMA

Hawa wote Kova na msangi inabidi wauwawe
:nerd::nerd:
Honey
JOIN-THE-CLUB-purple-circle.png
 
Kutokana na kutoa taarifa za uongo zinazoendelea kulichafua jeshi la pilisi pamoja na serikali, Its time now viongozi hawa wawajibike kama kweli hawako pale kisiasa. They must respect the Police Army and citizens of Tanzania, si kwa nia mbaya ni kwa kujali zaidi maslahi ya nchi na mustakabli wa taifa na usalama wake.

Kova na Mwema wajiudhuru kuonyesha nidhamu jeshinu, uungwana na professional ethics.
msizani watu wote tanzania huwa wanakurupuka, kila kitu kina taratibu zake sio kutangazatangaza tuu, walikuwa wanafuatilia taratibu thats why walichelewa, pia suala la kuachia ngazi halina maana coz mtu mwenyewe alitamka( kama alivyosema mchungaji) sasa kulikuwa na sababu gani mbaya ya kusema kuwa wanamshikiria na uchunguzi unafanyika. TUWE NA SUBIRA MAJIBU MAZURI TUTAPATA TUSIWE WAKURUPUKAJI TUU
 
Maisha ya watanzania yamekuwa magumu kutokana kusema kwa uongo kwa viongozi wa serikali....
 
To expect something different from Kova would be a miracle,he is pathological lier.Nani anakumbuka ishu ya kukamatwa yale madawa ya kulevya pale tunduma?iliishia wapi kova si alikuwa Rpc mbeya by that time???????kumbukeni tu
 
for this case i support you

i hate my government kwa kuundanganya UMMA

Hawa wote Kova na msangi inabidi wauwawe:nerd::nerd:

kama kova na msangi wauwawe kwa kudanganya umma! Basi na madorctor wauwawe kwa kugoma na kusababisha vifo kwa wagonjwa!
 
kama kova na msangi wauwawe kwa kudanganya umma! Basi na madorctor wauwawe kwa kugoma na kusababisha vifo kwa wagonjwa!
Kikwete na Pinda ndo wauwe kwa kuwaua wagonjwa kwa kutokutimiza ahadi yao kikatiba ya kulinda afya ya mtanzania.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom