Viongozi wa propoganda wakitoswa chaguzi za mwaka huu CCM kushinda 2015 bila kutumia nguvu.

raffiki

Senior Member
Jun 4, 2011
160
44
Habari JF,

Chama tawala mwaka huu kinachakua viongozi wake toka shina hadi taifa..,hadi sasa mwenendo unaenda vzr...wanancchi kwa saa wanasubiri final team ya CCM hasa ngazi ya taifa....,

Kwa maana hiyo basi ni wakati muafaka wa CCM kutimua mavuvuzela wote ambao kazi yao nikujitagfutia publicity wao na wakundi yao badala ya chama.

Pia tabia ya wale wenzewtu na wale sio wenzetu iepukwe la sivyooo la sivyoo kiukweli moto wa chadema utaendelea kuwakaa hadi CCm mtatafutana mchawi na hamtamjua maana misingi ya chama itakiukwa.

Wapeni wenye uwezo wa kuongoza waongoze kama mnaitakia mema nchi hii na kama mnajitakia pia kuishi kwa amani baada ya uchaguzi wa 2015.

Propoganda ni style ya uongozi iliypitwa na wakatiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Mkuu ushauri wako ni mzuri lakini wajaribu Hilo 2025 kwa sasa hivi halitasaidia tena


Wee waache wafanye mzaa na masiharaa...unajua utawala upya ukija 2015 iwe isiwe lazima kuza asilimia sio chi ya 30 iliyopo kwenye top system itabadilishwa au kutolewa hapo ndio kama wakiendelea na mapropoganda na kujuana kwao ndio watakapoumbuana na nchi kutokutawalika kama inavyoonekana sasa...hilii ni bomuuu nalo linalosubiri kuwalipukia CCM iwapo hawataliangalia kwa umakini.
 
Back
Top Bottom