NAPE anaunguruma Viwanja vya Shule ya Kashaulini Mpanda sasa hivi.

TandaleOne

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
1,644
709
Katibu wa itikadi na Uenezi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi..,Nape Nnauye yupo katika viwanja vya shule ya msingi kashaulini, wilayani Mpanda akihutubia mamia ya wananchi waliojitokeza katika Mkutano huo.,ambapo nape akiwa na waziri wa Maji, Prof. maghembe,na baadhi ya manaibu Waziri, Adam Malima, Agrey Mwanry, ole Nangoro na Dr Tizeba..,wote kwa pamoja wakishambulia jukwaa kwa kuwaeleza wananchi utatuzi na suluhu za kero mbalimbali zilizopo wilayani humo ikiwemo ya wafugaji na akulima, ardhi na Utaratibu wa ununuzi wa mazao ya wakala wa serikali na stakabadhi ghalani.

Wananchi wanasema tangu kuisha kampeni za 2010 hakuna mkutano uliokuwa na watu wengi kama huo. Nitawajuzeni zaidi.
 
Katibu wa itikadi na Uenezi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi..,Nape Nnauye yupo katika viwanja vya shule ya msingi kashaulini, wilayani Mpanda akihutubia mamia ya wananchi waliojitokeza katika Mkutano huo.,ambapo nape akiwa na waziri wa Maji, Prof. maghembe,na baadhi ya manaibu Waziri, Adam Malima, Agrey Mwanry, ole Nangoro na Dr Tizeba..,''

wote kwa pamoja wakishambulia jukwaa kwa kuwaeleza wananchi utatuzi na suluhu za kero mbalimbali zilizopo wilayani humo ikiwemo ya wafugaji na akulima, ardhi na Utaratibu wa ununuzi wa mazao ya wakala wa serikali na stakabadhi ghalani. Wananchi wanasema tangu kuisha kampeni za 2010 hakuna mkutano uliokuwa na watu wengi kama huo. Nitawajuzeni zaidi.

mkuu usiwe kama huna akili, 50 years bado hawajapata tu solution ya matatizo, bajeti muhimu zimepita hakuna kipya..........Mods tunaomba kila member awekewe identity kama ni great thinker ama lah, ili uweze kututofautisha na hawa kina TandaleOne
 
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atakayewasikiliza ccm kwa sasa!hembu mfano halisi MWAKA JANA BAJETI YA NGELEJA ILIKWAMA,AKAJA NA BAJETI MPYA YA KISANII,JANA MGAO UPO PALE PALE ETI MHANDO ASIANZISHE MGAO MPAKA BUNGE Liishe!kafukuzwa kazi
 
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atakayewasikiliza ccm kwa sasa!hembu mfano halisi MWAKA JANA BAJETI YA NGELEJA ILIKWAMA,AKAJA NA BAJETI MPYA YA KISANII,JANA MGAO UPO PALE PALE ETI MHANDO ASIANZISHE MGAO MPAKA BUNGE Liishe!kafukuzwa kazi
Alaaaaa.kumbeeee!!!Asante kwa kudadavua mkuu.
 
Anaunguruma au anakoroma?Maskini na maprof wamekuwa mazuzu siku hizi kuburuzwa na Nepi kutoa ahadi,time will tell tutawanyuka vibaya sana 50 yrs ya ufirauni inatosha kabisa!!!
 
Wakuu Leo tokea asubuhi nasikia ile operation ya muhimu ya jaza uwanja ilikuwa inafanya kazi ipasavyo na imegharimu mamilioni
 
Ndo zao wanakodisha watu na magari hawana jipya ccm imekufa kifo kibaya sana.
 
kuna thread ilikuwa ina ripoti kutoka eneo husika na picha zimewekwa ni aibu hakuna watu..
 
Wakati CHADEMA wakiwa wanapita kuendeleza siasa za uvunjifu wa amani na umwagaji damu..,CCM wanatatua matatizo ya wananchi na kujadiliana nao utekelezaji wa Ilani yao kwa njia shirikishi na bora zaidi.
 
Ana taarifa kama kamanda kova kavuliwa nguo na ngwajima?
 
Back
Top Bottom