Wanachadema Mnataka muishi Tanzania kama Peponi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachadema Mnataka muishi Tanzania kama Peponi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mlanguzi, Jul 15, 2012.

 1. mlanguzi

  mlanguzi Senior Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=1][​IMG][/h]  Binafsi nashukuru Sana utawala wa JK unavyoendelea.
  Haya yanayotokea ni Changamoto ya Tawala zote Duniani.Huwezi kuishi ukapitwa na Changamoto za maisha.


  i)Kenya- Mauji ya wenyewe kwa wenyewe
  2)Uganda - Vita vya Kikabila kati ya Jeshi na Koni
  3)Burundi- Karibuni wamepumzika. Hussen Rajab yupo gerezani
  4)Rwanda - W
  1)Iddi Amin - Uganda
  2)Samwel Doo
  3)Guine Bissau - Jeshi limepindua nchi, na hali ya kisiasa sio nzuri
  4)Malawi - Ushoga umeingia. wananchi wanalalamika
  5)Somalia: Vita vya wenyewe kwa wenyewe
  6)Ethopia: Majeshi yao yapo ktk Vita. wananchi wao wanakimbia nchi. Maisha magumu.Wengi wanakufa kwenye malori wakikimbia nchi
  7)Msumbiji- Mkate Ulipanda bei na wanachi kuuana. juzi tu wametoka ktk Vita vya wenyewe kwa wenyewe
  8)Suda.- Wametenganishwa kwa sababu ya Mafuta na gesi
  9)Libya - Sote Tunasikia
  10)Egypt - Hali tete
  11)Aljeria - Vita vya kuviziana
  12)Nigeria - Vita vya Kidini
  13)Liberia - Samweli Doo alivyotikisa, taylor yupo mahakama ya Kimataifa
  14)Comoro- Tumepeleka Jeshi hivi karibuni
  15)Kongo- Mapigano ya kikabila yameshika kasi

  16)Tanzania 95-2005
  Mauji ya Mwembe chai na wakimbizi wa Zanzibar
  Yapo mauji mengine ya hapa na pale.

  Tanzania 2005 - 2012
  Tumshukuru Mungu kutoleta rais huyu.

  Matukio
  Migomo mingi ya madktari ishatokea
  Migomo ya wafanyakazi imeshika kasi lkn hali sio ya Kutisha ukiwa nje mitandao ya Kijamii na magazati
  Matukio ya Zanzibar UAMSHO. kama tawala nyengine za Tanzania. Wakimbizi na Vilema vingalijaa
   
Loading...