Mwigulu nchemba uko wapi?

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
Jimboni kwako yametokea maafa yaliyosababishwa na vurugu za kisiasa, tupe kauli yako tafadhali, njoo hapa jamvini tujadili!!!
Poleni wanairamba magharibi kwa msiba uliwafika. RIP marehem.
 
Aje atuambie kwa nini ananunua vijana kufanya vurugu, wanyiramba tunapenda amani.......kwa amani tuliwaachia wakurya Mara yao tukapata place kuzunguka Mlima Sekenke ili tubaki na amani yetu......leo hii wapuuzi wachache wanatuvuruga, hatujavuna vizuri mwaka huu, mafuta yetu ya alizeti hayana soko tunapanga barabarani, leo hii wa kutupigania anatupiganisha....ulaaniwe Mwigulu na washirika wako
 
Tena alaniwe pamoja naye yule amuungaye mkono!!!! Wanajamvi mimi situkani, bali nawaambia hivi, ukimuangalia vizuri mwigulu anapokuwa bungeni akisubiri kutoa taarifa au mwongozo mjisura wake walah afanana na baboon!!! Wanaobisha wasubiri jumatatu muangalieni kwa makini strakcha ya mashavu (ukuunda) na kamdomo plas zile nyusi,
labda ufanano wa nyani unaaffect brain ake mazee!!!
 
..Hapo kwenye "red"- Wakurya sikuzote hawapendi watu wanafiki kama Mwigulu Nchemba, wao kwao 1+1=2 au 1x1=1 hawapindishi maneno, ndio maana Wanyiramba mlikubali yaishe, ila kwa siasa za mwigulu nadhani hata CCM wenyewe wanajuta kuwa naye, ni mchonganishi, ni mtu anayeogopa kuona upepo unavuma, hapendi kufikiri vitu vigumu, yupo kwa siasa rahisi kama hizi alizoanzisha
 
Jimboni kwako yametokea maafa yaliyosababishwa na vurugu za kisiasa, tupe kauli yako tafadhali, njoo hapa jamvini tujadili!!!
Poleni wanairamba magharibi kwa msiba uliwafika. RIP marehem.

Kabla haujaweka HOJA jaribu kusoma HOJA zingine kwanza... YUKO SUMBAWANGA na NAPE na kundi la VIONGOZI wa CCM

KUJITANGAZA kwa UMATI MDOGO sana...
 
Nyie wachaga mnaenda kuua watu singida kwa uroho wenu wa madaraka ee ,sasa mtakiona cha mtema kuni wafu nyie,huyo madevu mwita lazima anyee debe
 
Kesi ya slaa kutelekeza mke na familia imefikia wapi?yule mzee anazeeka vibaya.
 
Mzee wa disko joker ie mwenyekiti alikuwepo?au yuko bilicanas kukusanya mauzo ya pombe,
 
..Hapo kwenye "red"- Wakurya sikuzote hawapendi watu wanafiki kama Mwigulu Nchemba, wao kwao 1+1=2 au 1x1=1 hawapindishi maneno, ndio maana Wanyiramba mlikubali yaishe, ila kwa siasa za mwigulu nadhani hata CCM wenyewe wanajuta kuwa naye, ni mchonganishi, ni mtu anayeogopa kuona upepo unavuma, hapendi kufikiri vitu vigumu, yupo kwa siasa rahisi kama hizi alizoanzisha

mwigulu anawapeleka puta mpaka mkome wehu nyie,mnajifanya wajuaji sana nyie,moshi imewashinda,arusha imewashinda mtaiweza singida?watu wa singida sio wajinga na mtazidi kuaibika mangi wakubwa nyie
 
Juzi apa mmesababisha mgomo wa mabasi moshi kwa uchaga wenu leo mnajifanya mwaenda iramba na bado ndoa hamziwezi nchi mtaiweza?
 
Tena alaniwe pamoja naye yule amuungaye mkono!!!! Wanajamvi mimi situkani, bali nawaambia hivi, ukimuangalia vizuri mwigulu anapokuwa bungeni akisubiri kutoa taarifa au mwongozo mjisura wake walah afanana na baboon!!! Wanaobisha wasubiri jumatatu muangalieni kwa makini strakcha ya mashavu (ukuunda) na kamdomo plas zile nyusi,
labda ufanano wa nyani unaaffect brain ake mazee!!!

wee kamsaidie mama ako kupika ondoka apo,wakati sisi baba zako tunamsaidia baba ako slaa kutatua tatizo la ndoa yake na uzinifu anaoufanya
 
Mnyika anakurupuka ameshindwa kujieleza bungeni anaenda kutafuta huruma ya wananchi,shame on her aaagh sorry on him
 
wee kamsaidie mama ako kupika ondoka apo,wakati sisi baba zako tunamsaidia baba ako slaa kutatua tatizo la ndoa yake na uzinifu anaoufanya
Mwigulu alikamatwa Igunga akiwa na mke wa kada mwenzake Hebu liambie jamvi dr slaa alifumaniwa wapi? Hilo lililomkuta ni lakawaida kabisa kwani Rais wa zamani wa France Nicolus Sarkoyz alioa Mara ngapi? Mbona wafaransa walikuwa hawahoji ? Nikwasababu hayo ni masuala binafsi jikite kwenye hoja mkuu
 
Kesi ya slaa kutelekeza mke na familia imefikia wapi?yule mzee anazeeka vibaya.

Issue ni ya Mwigulu, unadhani ukileta mada ya Slaa itabadili mawazo ya mada? Pole sana. Hizo ni tactics mufilisi na kitoto sana. Mchumi Grade 1 Mwigulu hata kijijini kwake watu hawana soko la kuuzia vitunguu vyao na mafuta yao ya alizeti. Eti mchumi huyo. Wassira alishampasha kuwa kuwa na A ya uchumi siyo issue, issue ni kuwa unaitumiaje kusaidia jamii. Yeye kazi ni kukenua meno mjengoni.
 
mwigulu anawapeleka puta mpaka mkome wehu nyie,mnajifanya wajuaji sana nyie,moshi imewashinda,arusha imewashinda mtaiweza singida?watu wa singida sio wajinga na mtazidi kuaibika mangi wakubwa nyie

Chunga lugha zako mkuu hujui unaongea na nani so ni vema ukaongea kwa ustaarabu na kujuwa kama ni mdogo au mkubwa kwako.
 
Back
Top Bottom