Haya yanayotokea kwa Chadema Watanganyika tumejitakia wenyewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya yanayotokea kwa Chadema Watanganyika tumejitakia wenyewe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mlanguzi, Jul 15, 2012.

 1. mlanguzi

  mlanguzi Senior Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati wenzetu Cuf walipokuwa wakisema Jeshi la Polisi lifanyiwe marekebisho, wanasiasa watz walikuwa bizz. Vyombo vya habari vyetu vilifikia hata kuwakejeli na kusema hizo nido siasa zao.
  Wakati maalim seif akiwinda. wengi tukiamini Cuf na wazanz ni watu wa fujo.
  Juma duni na wenzake walikamatwa. wengi wanasiasa hasa utawala wa awamu ya 3 ikipeleka JESHI kudhibiti mambo.
  Endapo watanganyika tungalipiga kelele mapema. siasa safi na utawala bora ungalikuwa mwanga wa jamii

  SASA NYOKA KAINGIA TANGANYIKA. VIONGOZI WA UPINZANI KILA MMOJA AN
  AKES
   
Loading...