Madaktari wote waliogoma wapewa siku mbili kuomba radhi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari wote waliogoma wapewa siku mbili kuomba radhi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KANYIMBI, Jul 15, 2012.

 1. KANYIMBI

  KANYIMBI JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Baraza la Habari la Kiislamu Tanzania (BAHAKITA), limetoa muda wa siku mbili kwa madaktari wote nchini kuwaomba radhi Watanzania pamoja na Serikali kwa kuhusika na mgomo uliosababisha maafa. Pia Baraza hilo limeahidi kuwashitaki madaktari hao katika Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa Mashitaka (DPP)
  Source: wavuti.com
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hii ni ya siku nyingi tu.
   
 3. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,199
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Hivi kwanini ACP Kova asingewatumia hawa kuhahalalisha alichotaka kufanya badala yake akaingia cha Kike kupitia kwa Mchg Gwajima?
   
 4. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Naunga mkono hoja 100%
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  anachafua Kanisa la Mungu. ujinga mtupu. hakuna kitu kama hiko duniani. wengi walishajaribu wakashindwa. atafute kitu chengine cha kuchafuwa, lakini cyo Kanisa la Mungu.
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hahahahahahah njaa mbaya
   
 7. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  hiyo mbona ya siku nyingi! madaktari wamechoka kusubiria hicho ambacho kingetokea baada ya siku mbili na kesi bado wanaingoja, hala hala jamani mwezi wa Ramadhani huo unakuja harakisheni itakuwa kazi nzito kufuatilia kesi na swaume yakheeeee!
   
 8. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hilo Baraza liombe usajili kwa muda ili liingie ulingoni rasmi katika siasa. Kazi kutuaibisha Waislam, Ngoja tusubirie Ufisadi wa tende wiki ijayo. Mwezi mtukufu wa Ramadhan unakuja na baraka zake na hawa mashekhe uchwara wanaotumikia na Magamba wanataka kuutia nuksi.
   
 9. r

  ralphjn Senior Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hawa si ndo wale wanapewa baget kutoka serikalini kuendesha shughuli zao zikiwemo posho na mishahara?
   
 10. KIWAVI

  KIWAVI JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 1,747
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  nijuavyo mm serikali ilishasema mgomo haupo
   
 11. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Serikali ndiyo ianze kuwaomba radhi Madaktari kwa kuwafanyisha kazi katika mazingira magumu tangu nchi ipate uhuru. Pia iwaombwe radhi kwamba haiwezi kushughulikia madai yao kutokana na sababu za kibajeti na hatimae iwaombe warudi kazini na wafanye kazi kama hisani kwa serikali.

  TUMBIRI (PhD, Hull University, Hull City - United Kingdom),
  tumbiri@jamiiforums.com

   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Kwani wahumi wamechoswa na mihadhara?
   
 13. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mbona hawazungumzi rais kusafiri wakati waliomchagua wanakufa?Mbona hawazungumzii mabilion yaliyopo uswis yarudishwe yasaidie afya,maswali ni mengi kifupi wanaaibisha dini ambayo ina misingi imara,njaa inawasumbua
   
 14. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,909
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Watawashitaki wapi?Mahakama ya Kadhi?
   
 15. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mambo mengi sana tametokea, walikaa kimya, ili la Madaktari ndo wanaliona la nitoke vipi au? Mi nawaona ni wazushi tu!
   
 16. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,167
  Likes Received: 1,172
  Trophy Points: 280
  Kama ya Fatuma kimario na matamko yao, hii naona kama jumuia ya ccm:shetani::shetani:
   
 17. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hawa vilaza ndiyo afande Kova alitakiwa awapelekee yule mkenya mtekaji aliyebobea kwenye utekaji.
   
 18. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,167
  Likes Received: 1,172
  Trophy Points: 280
  Kwa DPP
   
 19. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kukosa elimu ni kubaya sana!
  Nendeni kwenye mihadhara yenu ya kukasfu
   
 20. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Hivi msemaji wa waislam ni nani?maana naona kila baraza linakuja na tamko lake
   
Loading...