Hawa ni wakuu wa wilaya/mikoa au wenyeviti wa ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa ni wakuu wa wilaya/mikoa au wenyeviti wa ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtamile, Jul 15, 2012.

 1. Mtamile

  Mtamile JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 2,800
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wakuu wa mikoa na wilaya walioteuliwa kipindi kilichopita
  1.wakuu wa mikoa wawili (2) ni wabunge viti maalumu ccm
  2.wakuu wa wilaya watano (5) ni wabunge vitit maalumu ccm
  3. Kumi na tano waligombea ubunge kwa tiketi ya ccm 2010 wakashindwa kwenye kura za maoni au uchaguzi mkuu
  4.ishirini na mbili (22) waliwahi kuwa wabunge la tz na afrika mashariki
  hapa raisi alikuwa anachagua wenyeviti wa ccm au wakuu wa mikoa\wilaya?

  http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=38130
   
 2. Mtamile

  Mtamile JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 2,800
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Still lading will join you later
   
 4. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu umesahau kutaja/kuorodhesha wakuu wa wilaya na mikoa ambao ni nyumba ndogo za mkulu...
   
 5. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nyumba ndogo? Ha ha ha ha ha ha.
   
 6. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Wakuu hivi katiba ya Tanzania inamruhusu mbunge kuwa na nafasi nyingine ya uongozi wa umma? Nakumbuka mojawapo ya kanuni za kuwa mbunge hapa Tanzania ni kwamba mtu anabidi asiwe na nafasi yoyote kwenye utumishi wa umma.Kwanini hii kanuni haifanyi kazi?
   
 7. Mtamile

  Mtamile JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 2,800
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  hapo bado uvccm
  na washikaji zake na riz1
   
 8. Mtamile

  Mtamile JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 2,800
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mi siamini kama Tanzania tumekosa watu wa kuwa wakuu wa wilaya hadi wabunge wanakuwa wakuu wa wilaya/mikoa
   
Loading...