Msangi Alipomwambia Ulimboka Aage | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msangi Alipomwambia Ulimboka Aage

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jul 18, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  [video=youtube_share;7nTWMnYSq_A]http://youtu.be/7nTWMnYSq_A[/video]
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hiyo link haijakaa vyema,hebu irekebishe mkuu
   
 3. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hiyo link bado mkuu
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Sasa Msangi anatamani ardhi ipasuke kwani alilo litegemea limeenda kinyume
   
 5. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mungu ana makusudi yake Dr.Uli kuwa hai mpaka sasa.Inasikitisha sana.
   
 6. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wandugu nimemsikiliza Dr mara nyingi zaidi ya mara tano. Nahisi huu ni ushaidi tosha. sasa kova anapeleleza nini? waache kutudanganya watanazania eti wanafanya upelelezi , upelelezi wa nini?
  shame on them forever .
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  tumeambiwa hilo swala liko mahakamani na mtuhumiwa ameshakamatwa..hawahitaji ushahidi wa ulimboka maana upelelezi wa polisi ndio wa mwisho na mtuhumiwa ameconfess mwenyewe...hiyo kwa bongo inatosha kabisa
   
Loading...