Kuna mwaka ambao bajeti iliwahi kutekelezeka angalau 90%? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna mwaka ambao bajeti iliwahi kutekelezeka angalau 90%?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Whisper, Jul 18, 2012.

 1. Whisper

  Whisper JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 502
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tangu nimeanza kufuatilia mambo ya uchumi na siasa za Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1990, sijawahi kusikia kuwa bajeti ya nchi imetekelezwa anagalau kwa kiwango cha asilimia 90%.

  Kubwa zaidi, Je ni waziri yupi wa fedhaTanzania ambaye kwa kipindi chake amewahi kutoa bajeti yenye angalau unafuu kwa wananchi na ikatekelezeka kwa kiwango fulani? mwenye taarifa tafadhali atujuze
   
 2. m

  muchetz JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Umeenda kwenye figure kubwa sana. Uliza hivi... Kuna mwaka ambao angalau serikali imetekeleza bajeti angalau kwa 10%? Hapo ntakuelewa zaidi!!!!
   
Loading...