WATANZANIA TUTAFAKARI hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WATANZANIA TUTAFAKARI hili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mizambwa, Jul 18, 2012.

 1. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Ndugu Wana JF;

  Mimi nimefuatilia Vikao vya bunge la Bajeti vinavyoendelea lakini napenda kusema kuwa ninapata kigugumizi sana katika mijadala iliyopo Bungeni na jinsi Bajeti zinazowakilishwa.

  Bunge limetawaliwa na Malumbano na Ubabe wa hali ya juu ambapo hakuna mantiki yoyote katika kujadili mada za maendeleo ya Watanzania.

  Ningelikuwa na uwezo ningependekeza Vikao vya Bunge vinavyoendelea viahirishwe kwani vimekosa maana na ni kumaliza pesa za Taifa kwa ajili ya posho za vikao visivyo na Tija kwa Taifa.

  Nawasilisha.....  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
Loading...