Majibu Rahisi: Mwalimu wa Primary Kufundisha Chuo Kikuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majibu Rahisi: Mwalimu wa Primary Kufundisha Chuo Kikuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ozzie, Jul 18, 2012.

 1. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Ninaisikitia sana nchi yangu kwa kuwa na maamuzi ambayo hata kichaa hawezi kuyafanya. Serikali inasema mgomo umeisha, wakati waliogoma wamefukuzwa kazi, sasa mgomo umeishaje? Sasa kwenye hospitali kubwa za rufaa na nyinginezo (ambazo madaktari graduate waliokuwa katika mgomo wamesimamishwa) wamepeleka clinical officers na assistant medical officers kuchukua nafasi za hawa madaktari wa degree. Vitu wanavyofanya hawa watumishi katika level hizi za hospitali ni aibu, ni aibu inavyokubaliwa Tanzania pekee. Kada hizi zinafaa zikae dispensary, ambako angalau waweza vumilia kutibiwa na mtu asiyejua anatomia, fiziologia, pathologia na famakologia. HII NI HATARI.

  Hivi ina maana mwalimu wa chuo kikuu akigoma, serikali itachukua walimu wa primary kuziba pengo? Hii ni ajabu sana. Serikali pia imeomba wanafunzi wa udaktari toka nchi za uchina, iran n.k. (bado hawajamaliza degree yao ya udaktari chuo) ambao huja kwa nia ya kufanya elective katika kukamilisha masomo yao (sijui watakuja lini). Tunakoelekea mfumo wetu wa afya unaenda kufa kabisa, Rais ajaye atakuwa na wakati mgumu wa kuufufua (kama naye atakuwa na nia thabiti).
   
 2. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,784
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  hasira za mgomo hazijawaisha tu mtakufa kwa presha bure, mbona kuna walimu wa shule za msingi wana masters!
   
 3. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,367
  Likes Received: 8,382
  Trophy Points: 280
  We ngoja tutakufa wao Indiaaaaa
   
 4. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,188
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Twaumia kwa uzembe na ukiritimba wa Serikali sikivu ya Jua Kali (JK)
   
 5. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  ni idadi gani ya watanzania hutibiwa na md?
   
 6. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  In most cases WaTanzania tu wadhaifu kama walivo viongozi wetu. Kwa kweli "Udhaifu" ni janga la taifa katika levo zote na kwa watawala na watawaliwa. Kinachosumbua katika migomo ni "Unafiki", tokana na umasikini tulionao kama walivo wengi wa viongozi mbali mbali ndio kinachotuponza.

  Inapotokea walimu, madaktari or wereva group igomayo; mara nyingi sana wale ambao huwawakilisha katika matukio hayo kuna baadhi ambao wananunuliwa kwa kupewa nafasi nzuri zaidi yenye marupurupu zaidi ama pesa. Hao ndio wasaliti wa kutoa majina ya akina nani wawe sadaka kuwatishia wengine wasiendeleze mgoma. Walau that is my take.

  Na mkuu Ozzie kama mmegoma na wenzenu wengine wamefukuzwa kazi, kuna mgomo tena hapo? hapo ni kweli kuwa mgomo umeisha maana hakuna la maana hapo. Waliobaki badla ya kusupport kwa kugoma kabisa, kesho yake wa kwanza kufika maeneo ya kazi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. D

  Dopas JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mambo ya serikali DHAIFU, ikiongozwa na viongozi DHAIFu...
   
 8. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  mku wameumia sana, maana wao ndio waliopoteza katika gemu zima.
   
 9. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Tatizo ni kwa wewe uliyevunja sheria kwa kugoma au kwa aliyetekeleza sheria kwa kukufukuza wewe uliyegoma??
   
 10. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  kuna utofauti kati ya mwalimu wa shule ya msingi mwenye master na clinical officer kuka refera hospital kama mbeya,bugando nk. Hawa watu wanaload wagonjwa na madawa kibao yenye mechanism moja ya kazi at same time. Ni kumjaza mgonjwa sumu tu.
   
Loading...