Wanafunzi shule Ya Msingi Wamzomea Diwani CCM. Wamuita Fisadi na Kumrushia Mawe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi shule Ya Msingi Wamzomea Diwani CCM. Wamuita Fisadi na Kumrushia Mawe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jul 18, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Wanafunzi wa shule ya msingi Hoho manispaa ya Iringa wamemzomea diwani (CCM) wa kata hiyo na kumuita fisadi.

  Inasemekana mmoja wa hao wanafunzi alimrushia Mh. huyo mawe huku wengine waliosadikiwa kuwa darasa la 4 na la 5 wakimuonyesha vidole viwivili "V" Ishara inayotumiwa na CHADEMA.

  Cha kushangaza ni kwamba hawa watoto waliweza kumwimbia huyo kiongozi wimbo wa "pipoz power" kitendo ambacho kiliwavutia watu waliokuwa wkipita hapa na kubakia kucheka.

  Huyu diwani aliyekuja kuitembelea hiyo shule aliondoka kwa aibu...naona hata watoto wetu wanazinduka. Bado Tanga tu.

  Chanzo, nipo iringa. nimefika shuleni na kuthibitisha tukio
   
 2. Y

  Ye Nyumbai Senior Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni dalili njema za ukombozi. Kitaeleweka tu na hata Tanga nako wanafunguka sasa.
   
 3. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  habari njema hii,hata tanga hakuna wasi watazinduka tu hospital ya bombo haina x-ray mashine mwaka wa 20 huu.....
   
 4. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Hao wakwere magogoni wanamfanyia mzee manywele uhuni wakati hawajui hii nchi inaendeshwa na nani, waacheni tu. siku yao inakuja
   
 5. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Movement For Change with no apology
   
 6. M

  MgungaMiba JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 28, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 80
  Hivi una nini lakini na Tanga? Hiyo Iringa yako itapitwa kama imesimama M4C itakapochanganya Tanga, hujui kuinamako ndio kuinukako?
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,062
  Likes Received: 10,416
  Trophy Points: 280
  Twanga kote kote M4C.
   
 8. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  safi sana.. Peopelz paawar.. M4c season 2 inakuja .. R.i.p ccm
   
 9. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Hapo ndipo ilipotofauti ya CCM na magenge ya wauaji, kiongozi wa CCM akizomewa au kupigwa mawe anainama chini kwa aibu kisha anakwenda kujitathimini sababu ya kuzomewa. Viongozi wa magenge ya wauaji wakizomewa na wananchi wanawaagiza makundi ya wauaji wawapige mawe hadi wafe wazomeaji.
   
 10. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hao watoto ndio wakombozi wa taifa la leo
   
 11. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jee wanafunzi wa kidato cha nne ndio watakao ipenda ccm??? kazi ipo wazee.
   
 12. n

  nsanu Member

  #12
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Brovo Mh Peter Msigwa kazi yako inaonekana.
   
 13. magosha

  magosha JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ccm haimo kwenye fikra za watoto maana enzi zake zilishakwisha.
   
 14. m

  mtendaji wa kijiji JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Big up. Ni inbox mpesa yako. Niwatumie watoto hela ya soda kwa kaz nzur
   
 15. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,112
  Trophy Points: 280
  Nani amekudanganya kuwa enzi za Ccm zimepita? Kama zingekuwa zimepita sasa hivi kisingekuwa Ikulu.
  Call your enemy what you are, and always tell the exact opposite of the truth.
   
 16. y

  yaya JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, nimeifuatilia michango yako mingi nimegundua kitu fulani. Kitu kinachoitwa "tafakuri" kwako ni tatizo kubwa na sugu. Nadhani unatawaliwa zaidi na ushabiki kuliko busara.
   
 17. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Acha uongo wewe. Hapo juu umetuambia 'inasemekana' halafu unadai uko huko, weweee!
   
 18. magosha

  magosha JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  habari ndo hiyo penda usipende lia usilie ccm kwisha kazi
   
 19. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Busara ni kushabikia vijana wetu kupiga mawe wote wanaopingana nao mitazamo, au kuwauwa wote wanaonesha kukupinga kwa njia uliyo ichagua?
   
 20. y

  yaya JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, labda ungejiuliza, mtoto wa darasa la tano anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kumi au kumi na miwili amepataje busara ya kujua Mhe. Diwani ni fisadi na wewe mwenye uwezo wa kuchangia mijadala ya great thinkers umeshindwaje??

  Ukilijibu hilo utaweza kujua tofauti ya ushabiki na busara.
   
Loading...